Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Ana pesa zaidi ya hizo mara mia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa muda baada ya hukumu kutolewa ni bank gani iliyokuwa wazi? Hata km alikuwa na pesa nyumbani muda ule mahakama ingesubiri hadi pesa zifatwe kisha taratibu za kulipa fine zianze? Kama hukumu ingesomwa kwa ule muda wa awali ni hakika kuna jambo lingefanyika.
 
CHADEMA wachangieni viongozi wenu jana nimeona Lema kapost namba za simu nyingi ili mchangie, mnaona jinsi Wana CCM wana umoja, na nyie changieni kupitia Lema au Nyalandu au Mdee au Msigwa mmepewa namba zao. Acheni kulalamika, Mahakama haina upendeleo hata akiwa CCM au CHADEMA wote hukumu ni ile ile.. Hapo Mashinji angesamehewa mngepiga kelele hadi masikio yatupasuke.
 
Mashinji...akupaswa kutolewa kolokoloni maana hana impact kwa Tz ya Leo inayoitaji Positive change.
 
SASA HAP

O MWENYE IMPACT NI NANI SIONI CHA MBOWE WALA HATA ANGEKUWEPO YULE SHOGA WENU ALIYEKIMBILIA ULAYA HAKUNA MWENYE IMPACT YOYOTE WAPUUZI TU NYIE
 
nguvu ya umma inawang'oa MATAGA October. nyie fanyeni mzaha tu!
halafu kwa hilo sijui nani huwaga anawadanganya atawafanyia uchawi mshinde yaani ni itu ambacho hakiweekani chini ya jua nyie ni wapiga kelele tu kama wapiga debe hamuwezi badirika
 
SASA HAP

O MWENYE IMPACT NI NANI SIONI CHA MBOWE WALA HATA ANGEKUWEPO YULE SHOGA WENU ALIYEKIMBILIA ULAYA HAKUNA MWENYE IMPACT YOYOTE WAPUUZI TU NYIE
Aaaah punguza hasira ....wewe katibu wa UWT najua unamtaka mmeo aludi uraian..wanawke wanzako wa Uwt watamchangia.
 
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini kilichowafanya kulala SEGEREA ni hukumu kutolewa muda ambao benki zimefungwa na si kukosekana pesa
 
Chibudee,
wakati Dotto anachota kutoka hazina yetu ya taifa kumlipia Iskariote Mashinji, sisi Watanzania tunachangia kutoka kwenye vibubu vyetu kwa ajili ya viongozi wa Chadema. nguvu ya umma!
Of course hii iko obvious kwamba watachomoa pesa kutoka hazina na kumlipia faini mashinji na si kwamba ccm itamchangia.
 
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata angekuwa na pesa zaidi ya serikali ya TZ angechangiwa tu,Mbowe na wenzake hawajahukumiwa kwa kosa kugombania mashamba ya familia zao wamehukumiwa wakiwa wanapigania haki ya Watanzania wote,pia tumechangia ili kuwadhihirishia akina fulani kwamba tuko upande wa upinzani hatuko upande wao
 
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu hawachangi kwa sababu ya umaskini au utajiri wa mtu...
Wanachanga kwa fujo ili kufikisha ujumbe wa hasira kwa utawala na mamlaka zilizojaa uharamia!!
Na imedhihirika kuwa wengi wa kila upande wana hasira za dhati kabisa na serikali hii!!
 
Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!
Mkuu Hata Ingekuwepo, bado angeenda tuu kulala segerea; Muda wa malipo ya Miamala ya faini za Kimahakama ni saa nane mchana; Hivyo kwa namna ilivyo ata angekuwa na cash bado angelala tu huko segerea.
Kama Hana hiyo ni ishu nyingine, mie nimezungumzia hata kama angekuwa nayo cash bado asingeweza kurudi uraiani.
 
Una
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati kampeni ya kuchangisha pesa za kuwalipia faini Viongozi wa CHADEMA ikiendelea, upande wa CCM Humphrey Polepole ameandika yafuatayo kuhusu faini ya Vicent Mashinji ambae ni Mwanachama mpya wa CCM akihamia kutoka CHADEMA.

“Asante CCM Mkoa wa DSM, Mwenyekiti na Kamati ya Siasa kwa kujitoa kwenu kwa haraka ili kesho tukamnusuru Mwanachama wa CCM Vicent Mashinji.

Mtakumbuka kuongoka kwa Mashinji kumetupa picha nzuri ya wasiotutakia mema na mipango yao mingi yenye nia ovu #tunasimamanaMashinji” View attachment 1383647

Sent using Jamii Forums mobile app

Who cares about Mashinji and ccm?

Fvck em!
 
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasaundi gudi
 
Unamaanisha ni kweli kuwa Mbowe tu Tajiri ila wivu fitna na uongo dhidi yake vimeshindwa, je kama waovu wauchukia ukweli na hupenda vitu dhaifu ila bado mwenye haki hakika hukaa juu ya waovu wafitini na wanafki wachumia tumbo huendea makombo na hujisifu na kumsifia aliyeacha makombo.
 
Back
Top Bottom