Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

Etwege, Kesi yake na viongozi wengine wa CHADEMA haikuhusiana na maswala yake binafsi, ni mapambano dhidi ya ukandamizwaji wa Democrasia dhidi ya waTanzania ndiyo maana wanoelewa wamejitoa kuchangia ndani ya muda mfupi..... Jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Etwege, Kesi ile sio ya Mbowe bwege wewe! Ile ni kesi ya Chama ndio maana analipiwa na chama senti zote na chenji itabaki chamani.

Acheni kuumia roho zenu za kwa nini kwa wafanyayo Chadema, huo ni mpango wa Mungu.
CCM haijachangisha hata mia, maana hata ukidai muamala uliolipwa na huyo tuu Polepole huwezi uona. Ni fedha za umma zilizolipwa, wezi wakubwa nyie!

Na mtaiga tembo hadi mtapasuka msamba, Chadema imewaonyesha ni chama kubwa. Na subirini asubuhi hii watu waweke pesa kwenye simu zao na namba ziongezwe maana nyingi zimefika ukomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati Dotto anachota kutoka hazina yetu ya taifa kumlipia Iskariote Mashinji, sisi Watanzania tunachangia kutoka kwenye vibubu vyetu kwa ajili ya viongozi wa Chadema. nguvu ya umma!
Duh! kamanda hilo neno la nguvu ya Umma nimelimiss tangu 2015 Mwenyekiti alipokamilisha dili lake la kuisaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS
 
Etwege,

kwani msiba huwa huchangiwi au matatizo ajalishi upo na pesa ngapi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si bora huyo Mbowe kuliko wewe ambaye umezaliwa Mama yako hajui Baba yako ni yupi kwani alipitia mikuyenge isiyo na idadi

Kuna vichekesho Sana badala ya kujadili content Unajadili maisha ya Mbowe

Kama Mama yako angekuwa smart kichwani asingekuleta takataka kama wewe Etwege,
 
ktk hao wote asiumizwa na hukumu ni dk vicent biyegela mashinji.wamlipiye na hukumu nyingine kule songea akitiwa hatiani mwezi huu wamchangiye tena.
 
Mkuu kutoa ni moyo. Siasa ni kazi na wanalipwa. Lkn ni kazi ya kuwasilisha maoni ya wengine. Mtanzania mwenye akili anajua kwa nini maandamano ilibidi yafanyike. Kutetea haki iliyominywa.

Mtanzania mwenye akili, anatafakari kauli ya IJP kujuta jeshi lake kuhusika na kifo cha Akwilina lkn kesi wamepewa viongozi wa chadema.

Mtanzania mwenye akili anajua, viongozi hawakuwa wanasimamia miradi yao, ila walikuwa wanasimamia miradi ya wananchi-democrasia, hivyo wananchi lzm tushiriki kuwakomboa.

Mashinji hatuhusu maana amesaliti Etwege,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati Dotto anachota kutoka hazina yetu ya taifa kumlipia Iskariote Mashinji, sisi Watanzania tunachangia kutoka kwenye vibubu vyetu kwa ajili ya viongozi wa Chadema. nguvu ya umma!
ndiyo mkome hamna pa kuchota sasa mtafanyaje changeni tu la sivyo wanafungwa maana mbowe hela ya ruzuku yote ameshakula
 
Etwege,
Screenshot_20200310-231006.png
 
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea , huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu mwenye akili ndogo hawezi kujua mantiki ya hii movement ya kuchangia, anachojua kina Mbowe ni masikini ndio maana wanachangiwa foolish
 
Back
Top Bottom