Dkt Hamis Kigwangala amesema anatamani uteuzi mpaka anakosa Usingizi

Huyu mshamba aliniudhi aliwarusha kichura watu wazima tena askari wanyamapori Ingekuwa Mimi tungepigana kwanza weee... ANASIFA za kijinga nanikijana wa ho...
Mtoamada umesahau namba ya simu tafazali, chungasana ujue uteuzi huweza kuja kwenye mada hutarajii yaani mada hujasifu kwa kujimaliza inakutoa!!
 
Anavuta sn ganda
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala Aliyewahi kuwa waziri wa utalii na maliasili pamoja na kuwa naibu waziri wa Afya chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kama waziri wake,kupitia mtandao wa Twitter amesema kuwa anatamani sana Kupata uteuzi mpaka anakosa usingizi na hivyo kuomba hata maombi ili apate.japo amezungumza katika hali ya utani katika majibizano ya kawaida na ya utani lakini bila shaka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza Moyo wake pamoja na kifua chake.

Japo ametaniwa kuwa ni bora asipate uteuzi huo maana atawasumbua sana watu mitaani akipata uteuzi ,kwa sababu alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alikuwa anamuona kila mtu anayemkalibia ni jangili .lakini kwa sasa walau anafikika na kupiga stori.

Nini maoni yako mwana jamii forum kuhusu kiu ya Mheshimiwa Mbunge kuutamani uteuzi wa nafasi ya Uwaziri.Je ingekuwa wewe ni Rais na unataka kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri,je ungemteua kuwa waziri wako.

Unakumbuka nini katika uwaziri wake wa maliasili na utalii. Unakumbuka nini katika unaibu wake wa afya.Ipi alama aliyoiacha na ya kukumbukwa katika nafsi hizo za uteuzi alizozitumikia. Je anastahili kupewa au kufikiriwa kupewa tena uteuzi au aendelee kubaki na ubunge wake.

je anautaka uteuzi wa uwaziri kwa ajili ya kuwatumikia watu au Uwaziri kumtumikia yeye.je anataka uwaziri kwa ajili ya kuleta fikira mpya au kwa ajili ya sifa na hadhi ya uwaziri.je unafikiri anatamani kupata uteuzi kwa kuwa kuna mahali anaona anaweza kutoa mchango wake chanya nawemye kuleta matokeo chanya kwa Nchi ndani ya baraza la mawaziri au kwa kuwa tu anaona ni muda na yeye akumbukwe kurudishwa kundini baada ya kuwa nje.

Kama ungepata nafasi ya kumpa neno ana kwa ana ungemshauri nini Mheshimiwa Mbunge Dkt Hamis kingwangala. Mimi ningemshauri akasome kitabu cha Mhubiri kinachosema kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. lakini pia ningemwambia akasome pia Mhubiri 9:11. Kinazungumzia juu ya wakati na bahati. Kwamba kuna bahati na wakati kwa kila jambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Nyie mafiisiem ni watu wa tamaa always,mnatamani hata mtumyonye damu watanzania mkaiuze,huyo jangili mwenzio udenda unamtoka baada ya kujua mama yenu Hana muda na wezi
 
Kende zako kwanini kwenye maandishi yako ya leo hujamtaja goddess ISIS,Queen of heaven
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala Aliyewahi kuwa waziri wa utalii na maliasili pamoja na kuwa naibu waziri wa Afya chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kama waziri wake,kupitia mtandao wa Twitter amesema kuwa anatamani sana Kupata uteuzi mpaka anakosa usingizi na hivyo kuomba hata maombi ili apate.japo amezungumza katika hali ya utani katika majibizano ya kawaida na ya utani lakini bila shaka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza Moyo wake pamoja na kifua chake.

Japo ametaniwa kuwa ni bora asipate uteuzi huo maana atawasumbua sana watu mitaani akipata uteuzi ,kwa sababu alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alikuwa anamuona kila mtu anayemkalibia ni jangili .lakini kwa sasa walau anafikika na kupiga stori.

Nini maoni yako mwana jamii forum kuhusu kiu ya Mheshimiwa Mbunge kuutamani uteuzi wa nafasi ya Uwaziri.Je ingekuwa wewe ni Rais na unataka kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri,je ungemteua kuwa waziri wako.

Unakumbuka nini katika uwaziri wake wa maliasili na utalii. Unakumbuka nini katika unaibu wake wa afya.Ipi alama aliyoiacha na ya kukumbukwa katika nafsi hizo za uteuzi alizozitumikia. Je anastahili kupewa au kufikiriwa kupewa tena uteuzi au aendelee kubaki na ubunge wake.

je anautaka uteuzi wa uwaziri kwa ajili ya kuwatumikia watu au Uwaziri kumtumikia yeye.je anataka uwaziri kwa ajili ya kuleta fikira mpya au kwa ajili ya sifa na hadhi ya uwaziri.je unafikiri anatamani kupata uteuzi kwa kuwa kuna mahali anaona anaweza kutoa mchango wake chanya nawemye kuleta matokeo chanya kwa Nchi ndani ya baraza la mawaziri au kwa kuwa tu anaona ni muda na yeye akumbukwe kurudishwa kundini baada ya kuwa nje.

Kama ungepata nafasi ya kumpa neno ana kwa ana ungemshauri nini Mheshimiwa Mbunge Dkt Hamis kingwangala. Mimi ningemshauri akasome kitabu cha Mhubiri kinachosema kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. lakini pia ningemwambia akasome pia Mhubiri 9:11. Kinazungumzia juu ya wakati na bahati. Kwamba kuna bahati na wakati kwa kila jambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Wewe dogo nao somo la ufahamu na ufupisho lilikupiga chenga mbaya! Yaani hata mada yenye maneno machache tu; utairefusha mpaka basi!

Halafu na wewe pia si unavizia uteuzi! Au ile namba yako ya simu huwa unaiweka ili tukusalimie?
 
Ukiona mada ni ndefu inatakiwa uishie pale uwezo wako unapoishia kiakili ndio maana nimeweka aya.ili uishie ambapo uwezo wako umekomea.
 
Back
Top Bottom