Dkt Hamis Kigwangala amesema anatamani uteuzi mpaka anakosa Usingizi

Uongozi si majaribio
Ni kweli siyo majaribio . Dkt Hamisi Kigwangala tayari alishakuwa waziri kwa hiyo kila mtu anaweza kutoa maoni yake kuhusu yeye na utendaji kazi wake.tofauti na yule ambaye hajawahi kushika nafasi hiyo ndio unaweza kusema ngoja nijipe muda wa kumtizama utendaji kazi wake na ubunifu wake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala Aliyewahi kuwa waziri wa utalii na maliasili pamoja na kuwa naibu waziri wa Afya chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kama waziri wake,kupitia mtandao wa Twitter amesema kuwa anatamani sana Kupata uteuzi mpaka anakosa usingizi na hivyo kuomba hata maombi ili apate.japo amezungumza katika hali ya utani katika majibizano ya kawaida na ya utani lakini bila shaka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza Moyo wake pamoja na kifua chake.

Japo ametaniwa kuwa ni bora asipate uteuzi huo maana atawasumbua sana watu mitaani akipata uteuzi ,kwa sababu alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alikuwa anamuona kila mtu anayemkalibia ni jangili .lakini kwa sasa walau anafikika na kupiga stori.

Nini maoni yako mwana jamii forum kuhusu kiu ya Mheshimiwa Mbunge kuutamani uteuzi wa nafasi ya Uwaziri.Je ingekuwa wewe ni Rais na unataka kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri,je ungemteua kuwa waziri wako.

Unakumbuka nini katika uwaziri wake wa maliasili na utalii. Unakumbuka nini katika unaibu wake wa afya.Ipi alama aliyoiacha na ya kukumbukwa katika nafsi hizo za uteuzi alizozitumikia. Je anastahili kupewa au kufikiriwa kupewa tena uteuzi au aendelee kubaki na ubunge wake.

je anautaka uteuzi wa uwaziri kwa ajili ya kuwatumikia watu au Uwaziri kumtumikia yeye.je anataka uwaziri kwa ajili ya kuleta fikira mpya au kwa ajili ya sifa na hadhi ya uwaziri.je unafikiri anatamani kupata uteuzi kwa kuwa kuna mahali anaona anaweza kutoa mchango wake chanya nawemye kuleta matokeo chanya kwa Nchi ndani ya baraza la mawaziri au kwa kuwa tu anaona ni muda na yeye akumbukwe kurudishwa kundini baada ya kuwa nje.

Kama ungepata nafasi ya kumpa neno ana kwa ana ungemshauri nini Mheshimiwa Mbunge Dkt Hamis kingwangala. Mimi ningemshauri akasome kitabu cha Mhubiri kinachosema kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. lakini pia ningemwambia akasome pia Mhubiri 9:11. Kinazungumzia juu ya wakati na bahati. Kwamba kuna bahati na wakati kwa kila jambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
kamanda wa mzaha sio mzaha 🐒

sasaivi wanaheshimiana sana Dr JJ Mwaka dah 🐒
Rafiki yangu na kaka yangu alikua resi sana, na sasa cheo ni dhamana ni Lazima uwe kitabu chenye hadithi nzuri 🐒

Mambo ya kufungiana mageti na kuwahi namba kazini kama shuleni haikua imekaa vizuri kabisa 🐒 🐒
 
Kuna wazee pia walipigishwa magoti na utu uzima wao ili waruke kichura chura.
 
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani.

Wewe mpuudhi umalipwa na Kwa hii posti yako ya kumpiga madongo mpuudhi kigwa IPO kimkakati unataka kigwa akutafute akuombe uwe chawa wake kwa malipo.
Kigwangala najua hupo huku jf huyu dogo anakuomba kazi ya uchawa
awe anakupamba kama anavyofanya Kwa Bi Betina na Zero brain bashite
Anataka hiyo kazi kwani kashakusoma unapenda sana sifa za mtandaoni
 
Wewe mpuudhi umalipwa na Kwa hii posti yako ya kumpiga madongo mpuudhi kigwa IPO kimkakati unataka kigwa akutafute akuombe uwe chawa wake kwa malipo.
Kigwangala najua hupo huku jf huyu dogo anakuomba kazi ya uchawa
awe anakudifia kama anavyofanya Kwa Bi Betina na Zero brain bashite
Anataka hiyo kazi kwani kashakusoma unapenda sana sifa za mtandaoni
Kwa ufupi ni kuwa huna akili.
 
anawaza sanamu
 
Attachments

  • 428378688_7239359412822355_7219435962691429362_n.jpg
    428378688_7239359412822355_7219435962691429362_n.jpg
    207.8 KB · Views: 1
Watanzania ni zaidi ya mil 60, nafasi za uwaziri hazifiki hata mia moja.
Wengi wanatamani uteuzi lakini hawajapata hata unaibu.
Ajifunze kuzoea kuishi na ubunge bila uwaziri.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala Aliyewahi kuwa waziri wa utalii na maliasili pamoja na kuwa naibu waziri wa Afya chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kama waziri wake,kupitia mtandao wa Twitter amesema kuwa anatamani sana Kupata uteuzi mpaka anakosa usingizi na hivyo kuomba hata maombi ili apate.japo amezungumza katika hali ya utani katika majibizano ya kawaida na ya utani lakini bila shaka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza Moyo wake pamoja na kifua chake.

Japo ametaniwa kuwa ni bora asipate uteuzi huo maana atawasumbua sana watu mitaani akipata uteuzi ,kwa sababu alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alikuwa anamuona kila mtu anayemkalibia ni jangili .lakini kwa sasa walau anafikika na kupiga stori.

Nini maoni yako mwana jamii forum kuhusu kiu ya Mheshimiwa Mbunge kuutamani uteuzi wa nafasi ya Uwaziri.Je ingekuwa wewe ni Rais na unataka kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri,je ungemteua kuwa waziri wako.

Unakumbuka nini katika uwaziri wake wa maliasili na utalii. Unakumbuka nini katika unaibu wake wa afya.Ipi alama aliyoiacha na ya kukumbukwa katika nafsi hizo za uteuzi alizozitumikia. Je anastahili kupewa au kufikiriwa kupewa tena uteuzi au aendelee kubaki na ubunge wake.

je anautaka uteuzi wa uwaziri kwa ajili ya kuwatumikia watu au Uwaziri kumtumikia yeye.je anataka uwaziri kwa ajili ya kuleta fikira mpya au kwa ajili ya sifa na hadhi ya uwaziri.je unafikiri anatamani kupata uteuzi kwa kuwa kuna mahali anaona anaweza kutoa mchango wake chanya nawemye kuleta matokeo chanya kwa Nchi ndani ya baraza la mawaziri au kwa kuwa tu anaona ni muda na yeye akumbukwe kurudishwa kundini baada ya kuwa nje.

Kama ungepata nafasi ya kumpa neno ana kwa ana ungemshauri nini Mheshimiwa Mbunge Dkt Hamis kingwangala. Mimi ningemshauri akasome kitabu cha Mhubiri kinachosema kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. lakini pia ningemwambia akasome pia Mhubiri 9:11. Kinazungumzia juu ya wakati na bahati. Kwamba kuna bahati na wakati kwa kila jambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
huyu hafai hata kuwa mlinzi
 
Kuna wazee pia walipigishwa magoti na utu uzima wao ili waruke kichura chura.
HK alikua wa motro sana,

ila pia ni darasa pana sana kwa vijana wanao bahatika au kujaaliwa kupewa dhamana kubwa ya kutumikia umma 🐒

ni vizuri kujua kuna kesho lakini pia kuna maisha baada ya utumishi 🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala Aliyewahi kuwa waziri wa utalii na maliasili pamoja na kuwa naibu waziri wa Afya chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kama waziri wake,kupitia mtandao wa Twitter amesema kuwa anatamani sana Kupata uteuzi mpaka anakosa usingizi na hivyo kuomba hata maombi ili apate.japo amezungumza katika hali ya utani katika majibizano ya kawaida na ya utani lakini bila shaka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza Moyo wake pamoja na kifua chake.

Japo ametaniwa kuwa ni bora asipate uteuzi huo maana atawasumbua sana watu mitaani akipata uteuzi ,kwa sababu alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alikuwa anamuona kila mtu anayemkalibia ni jangili .lakini kwa sasa walau anafikika na kupiga stori.

Nini maoni yako mwana jamii forum kuhusu kiu ya Mheshimiwa Mbunge kuutamani uteuzi wa nafasi ya Uwaziri.Je ingekuwa wewe ni Rais na unataka kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri,je ungemteua kuwa waziri wako.

Unakumbuka nini katika uwaziri wake wa maliasili na utalii. Unakumbuka nini katika unaibu wake wa afya.Ipi alama aliyoiacha na ya kukumbukwa katika nafsi hizo za uteuzi alizozitumikia. Je anastahili kupewa au kufikiriwa kupewa tena uteuzi au aendelee kubaki na ubunge wake.

je anautaka uteuzi wa uwaziri kwa ajili ya kuwatumikia watu au Uwaziri kumtumikia yeye.je anataka uwaziri kwa ajili ya kuleta fikira mpya au kwa ajili ya sifa na hadhi ya uwaziri.je unafikiri anatamani kupata uteuzi kwa kuwa kuna mahali anaona anaweza kutoa mchango wake chanya nawemye kuleta matokeo chanya kwa Nchi ndani ya baraza la mawaziri au kwa kuwa tu anaona ni muda na yeye akumbukwe kurudishwa kundini baada ya kuwa nje.

Kama ungepata nafasi ya kumpa neno ana kwa ana ungemshauri nini Mheshimiwa Mbunge Dkt Hamis kingwangala. Mimi ningemshauri akasome kitabu cha Mhubiri kinachosema kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. lakini pia ningemwambia akasome pia Mhubiri 9:11. Kinazungumzia juu ya wakati na bahati. Kwamba kuna bahati na wakati kwa kila jambo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Ongezea Aliyewahi kuwa Naibu waziri Bila kuwepo kwa waziri..
KIpindi cha Magu ndo Naibu waziri aliyeteuliwa bila kuteuliwa waziri wake kwa siku kadhaa
 
Back
Top Bottom