DKT. Augustine Lyatonga Mrema

Kunta Kinte

JF-Expert Member
May 18, 2009
3,688
1,281
Leo wakati wa kipindi cha maswali bungeni nimemsikia spika akimuita Mrema kama Dkt. Augustine Lyatonga Mrema, nilidhani amekosea lakini wakati Aggrey Mwanri anajibu swali la Mrema nae alimuita hivyo hivyo-najiuliza amekuwa lini Dkt.? Mwenye kujua tafadhali nisaidie
 
Inawezekana hizi DK. zina maana nyingine siku hizi isiyo ya kitaaluma.
DK=Domo Kaya n.k.
 
Ningekuwa na madaraka ningepiga marufuku Tanzania matumizi ya udaktari wa kutosomea; mtu akipewa udakatari na marafiki zake basi anautunza huko huko. Dakatari wa kuhesimika atakuwa ni yule tu aliyepasi Viva inayojulikana.
 
Ndio maana nyerere alipenda aitwe mwalimu na alikuwa mwalimu wa watu kweli kuliko hawa wasanii akina kikwete na mrema
 
Back
Top Bottom