Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Lengo lilikuwa kumnyamazisha, amenusurika, anajua mpango mzima wewe una maslahi gani na kukaa kwake kimya? Pia nani atatuondoea sintofahamu hii kama si yeye kutueleza? Mimi nadhani umepotoka kama ni mshauri wa serikali waambie watueleze ukweli ambao tutaulinganisha na mazingira.