Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

Nnachoamini kwa jinsi alivyoponea tundu la sindano,na hali ya vyombo vyetu vya usalama ilivyo anahitaji mda wa kujipanga,ila kama anamawazo tofauti na nnampa pole.

akisema ukweli atakuwa salama zaidi.
 
ulimboka acha siasa na kama unaingia kwenye siasa jiulize hao walio kuteka walikuwa nania njema kweli wakupinge na kukufanyia unyama wa aina hiyo? ni Mungu tu amekulinda nje ya hapo ungekuwa marehemu
 
wewe ni mwanasayansi hatuna porojo kwenye result zetu sema ukweli wa nini kilitokea na nani ni muhusika wala usisikilize hao sisimizi maana tutawakanyanga sio muda mrefu
 
Mbona hizi ni kama vile pumba tupu?

Wewe unaweza kuziona pumba lakini ndio hivyo Dr Ulimboka mpaka kusema hakuna anayejua ukweli kuhusu yeye baada ya kusoma Mwahalisi na magazeti mengine...nyie si mnataka Dr Ulimboka aungane na kauli ya Kubenea na Mwanahalisi hiyo kauli ya Dr Ulimboka inafanya habari zote dhidi yake zinaonekana udaku tu.
 
wewe ndiye unaleta habari za udaku kawaeleze mangamba wenzio wala sio hapa
 
Subirii utajwe kwanza !
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.

Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.

Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
 
Hamna kitu hapo hakuna chochote cha ajabu atakacho ongea ,zaidi ya kustaajabisha taifa kwani kwa mwakyembe ilikuaje?

Aliombewa sana na wadau hasa hapa jamvini kulikuwa na thread kibao zilizo anzishwa ili kumwombea apone lakini alipopona na kurejea nchini mambo yakawa tofauti kabisa.

Kapewa kijishavu katulia tuli? Sasa na huyu nae atakuja kuongea mambo ambayo ni story za kufikirika kabisaa na kustajabisha.

Hii ndio tz ilio jaa vioja bwana.Hana ubavu wa kupanua domo lake na kumwaga mboga. Serikali inajua nini imefanya na nini itafanya juu ya Ulimboka ndio maana imetulia tuli.

Tatizo letu njaa ndio inayotumaliza na ndio huwa inatufanya tuonekane wanaharakati na wanaukombozi kumbe si lolote si chochote tukishibishwa kidogo tu hata na kiporo chari.
 
wewe ndiye unaleta habari za udaku kawaeleze mangamba wenzio wala sio hapa

Dr Ulimboka kashutuka mnataka kumtumia kisiasa mnataka kumlazimisha atumie ushahdi wa Mwanahalisi na Tanzania Daima...ukweli anao mwenyewe.
 
Wewe unaweza kuziona pumba lakini ndio hivyo Dr Ulimboka mpaka kusema hakuna anayejua ukweli kuhusu yeye baada ya kusoma Mwahalisi na magazeti mengine...nyie si mnataka Dr Ulimboka aungane na kauli ya Kubenea na Mwanahalisi hiyo kauli ya Dr Ulimboka inafanya habari zote dhidi yake zinaonekana udaku tu.
kinachosababisha nisione mantiki kwenye post yako ni kuwa, mtu akisema jambo alilofanyiwa na watu wengine ni siri yake haina maana kwamba hakuna mtu mwingine anayejua jambo hil. Maneno yako yalikuwa na maana kuwa iwapo ni dr Ulimboka tu ndiye anayejua kilichomtokea basi hata wale mahasidi wake waliomteka nao hawajui walilomfanyia, jambo ambalo ni wazi kuwa siyo la kweli. Iwapo usingeweka komment ya aina uliyoweka, ingesaidia sana kuficha upungufu huo wa maono kenye hiyo post.
 
we jamaa unafikiri, hzo taarifa kubenea alizitoa wapi?, pamoja na zile namba zao za cm? Na kwanini wakaamua kulifungia hlo gazeti? Tanzania kaka iko agaist na ukweli cku zote, elewa hvo! Mwakyembe kusoma ripoti ya richmond wakataka kuua, juzi mnyika kusema raisi ni dhaifu wakamtoa nje ya bunge wakati ni jambo dhahiri kbs
 
hamna kitu hapo hakuna chochote cha ajabu atakacho ongea ,zaidi ya kustaajabisha taifa kwani kwa mwakyembe ilikuaje.? Aliombewa sana na wadau hasa hapa jamvini kulikuwa na thread kibao zilizo anzishwa ili kumwombea apone lakin alipo pona na kurejea nchin mambo yakawa tofauti kabisaaa. Kapewa kijishavu katulia tuliii?? Sasa na huyu nae atakuja kuongea mambo ambayo ni story za kufikirika kabisaa na kustajabisha. Hii ndio tz ilio jaa vioja bana.hana ubavu wa kupanua domo lake na kumwaga mboga?? Serikali inajua nin imefanya na nini itafanya juu ya ulimboka ndio mana imetulia tulii. Tatizo letu njaa ndio inayotumaliza na ndio huwa inatufanyatuonekane wanaharakati na wanaukombozi kumbe si lolote si chochote tukishibishwa kidogo tu hata na kiporo chariii

Kwa hiyo unatakaje? tatizo lenu ndio hilo mnataka hawafurahishe nyie wanasiasa unalazimisha Mwanahalisi ndio limesema kweli.
 
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.

Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.

Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
wewe kama ni muoga kaa na woga wako usifundishe watu wengine woga!!
 
we jamaa unafikiri, hzo taarifa kubenea alizitoa wapi?, pamoja na zile namba zao za cm? Na kwanini wakaamua kulifungia hlo gazeti? Tanzania kaka iko agaist na ukweli cku zote, elewa hvo! Mwakyembe kusoma ripoti ya richmond wakataka kuua, juzi mnyika kusema raisi ni dhaifu wakamtoa nje ya bunge wakati ni jambo dhahiri kbs
na wewe unapoteza time yako kubishana na GAMBA RITZ??
 
kinachosababisha nisione mantiki kwenye post yako ni kuwa, mtu akisema jambo alilofanyiwa na watu wengine ni siri yake haina maana kwamba hakuna mtu mwingine anayejua jambo hil. Maneno yako yalikuwa na maana kuwa iwapo ni dr Ulimboka tu ndiye anayejua kilichomtokea basi hata wale mahasidi wake waliomteka nao hawajui walilomfanyia, jambo ambalo ni wazi kuwa siyo la kweli. Iwapo usingeweka komment ya aina uliyoweka, ingesaidia sana kuficha upungufu huo wa maono kenye hiyo post.

Usimuwekee maneno mdomoni Dr Ulimboka alichosema na wewe unachosema ni tofauti, pitia tena vizuri hii thread, alichosema Dr Ulimboka kwa mujibu wa ili bandiko "Ukweli wa tukio lake anajua yeye mwenyewe" sio vitendo alivyofanyiwa kama unavyotaka kutuaminisha wewe.
 
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.

Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.

Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Unamtisha nani sasa?
 
ujinga bado ni tatizo kwa watanzania wengi
Wewe ujuaji wako umekusaidia nini, ungekuwa sio mjinga usingehangaika na Multiple ID's humu JF.

ID zingine kazi kutukania watu,mods kuweni makini na Multiple ID's zinazotumika vibaya nadhani huyu member mnamjua anachafua mijadala ningemtaja sema sheria na kanuni za JF zinakataza (Name Calling)
 
Back
Top Bottom