Dk Slaa atakuwa rais wa wapi?

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
9,330
Hoja ama swali langu linabase kwenye hii sera ya CHADEMA ya kuunga mkono serikali tatu, yaani ya Bara, Ya visiwani(Zanzibar) na ile ya Shirikisho (Umoja), sasa ikitokea Chadema wakachukua nchi na hii sera ikawa kwenye action,

1) Dk Slaa atakuwa raisi wa nchi ipi?,

2) na kwa nchi hizo mpya mbili zitakazo form kutaitajika tena uchaguzi wa viongozi wa hizo nchi?

3) na kama mathalani zanzibar CUF wakashinda, Bara CCM wakashinda, na raisi wa shirikisho Chadema wakashinda hiyo Nchi itatawalika wakati kila Chama kina Sera zake?
 
So far hakuna serikali tatu? your questions are moot!
But ikiwapo, those things will be discussed!
 
siyo lazima kuandika tu eti huonekane kwenye jamii pumba tupu jipange tena ulete oja ya mana kituko????if you have nothing to say, say nothing
 
msingi wa swali lako ni wa kusadikika kwani hujathibitisha msingi wa hiyo sera ya chadema.
aidha, katiba ya sasa iko wazi; sasa hiyo katiba hewa unayozungumzia itaanza kufanya kazi lini?
swali lako ni kama fumbo kwa watoto wa darasa la tatu; jf ni jukwaa la great thinkers sio mediocrity.
 
Na kwanini iwe Dkt Slaa tu na isiwe Kikwete?Yani mnataka kumkwaza hata kabla kura hazijahesabiwa!Duh ama kweli mmetahayari
 
Katiba ipo na itbadilishwa na wazawa!!!!!sioni haja ya wewe kuhoji wakati unajua wajibu wako!!!!!!!!!!!!!!!! Eti dk.slaa atakuwa nanillii wa wapi?????????????
 
Hoja ama swali langu linabase kwenye hii sera ya CHADEMA ya kuunga mkono serikali tatu, yaani ya Bara, Ya visiwani(Zanzibar) na ile ya Shirikisho (Umoja), sasa ikitokea Chadema wakachukua nchi na hii sera ikawa kwenye action,

1) Dk Slaa atakuwa raisi wa nchi ipi?,

2) na kwa nchi hizo mpya mbili zitakazo form kutaitajika tena uchaguzi wa viongozi wa hizo nchi?

3) na kama mathalani zanzibar CUF wakashinda, Bara CCM wakashinda, na raisi wa shirikisho Chadema wakashinda hiyo Nchi itatawalika wakati kila Chama kina Sera zake?

Sera za Chama kama zinapingana na katiba hazitekelezeki mpaka mabadiliko ya katiba yafanyike. If I am not wrong, wao Chadema wanataka mfumo wa Majimbo kama ilivyo Marekani mfano Arusha inakuwa na Serikali yake na Sheria zanke and then tunakuwa na Serikali kuu kama anayoongoza Obama
 
Hoja ama swali langu linabase kwenye hii sera ya CHADEMA ya kuunga mkono serikali tatu, yaani ya Bara, Ya visiwani(Zanzibar) na ile ya Shirikisho (Umoja), sasa ikitokea Chadema wakachukua nchi na hii sera ikawa kwenye action,

1) Dk Slaa atakuwa raisi wa nchi ipi?,

2) na kwa nchi hizo mpya mbili zitakazo form kutaitajika tena uchaguzi wa viongozi wa hizo nchi?

3) na kama mathalani zanzibar CUF wakashinda, Bara CCM wakashinda, na raisi wa shirikisho Chadema wakashinda hiyo Nchi itatawalika wakati kila Chama kina Sera zake?

Maswali ya watu wa aina ile ile; kwani katiba ya nchi inasemaje?
 
Back
Top Bottom