Huyu alikuwa head wa suboffice ya United Nations Population (Fund UNPF) zenj, kwa takribani miaka minne sasa, kweli ni ndugu/mdogo wa Bilal alizawadiwa umakamu bara na ccm, lkn tukiachana na hayo ni msomi alichukua degree yake Urusi miaka hiyo na kwa ufupi mambo anayaweza! Mbaya ni kumbeba ndugu wakati mambo hayawezi!!!!!!!