Dk. Shein amwaapisha Fatma Gharib Bilal kuwa katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
* Msaada huyu ni Mke wa Gharib Bilal? Makamu wa Rais Tanzania?

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Fatma Gharib Bilal, kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maedeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ikulu Zanzibar).
 
Labda majina tu......wenzetu wale majina yao hufananafanana....Amani Abeid Karume...Abeid Amani Karume :der:
 
Duh!.. Tanzania bwana, kama hakuna watu wengine! Yaani watu wanapeana uongozi kindugundugu tuu... AAAaaauuauauahhggggh!..
 
bilal-1.jpg


Wake zake hao!

bilal-2.jpg
 
* Msaada huyu ni Mke wa Gharib Bilal? Makamu wa Rais Tanzania?

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Fatma Gharib Bilal, kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maedeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ikulu Zanzibar).

Huyu alikuwa head wa suboffice ya United Nations Population (Fund UNPF) zenj, kwa takribani miaka minne sasa, kweli ni ndugu/mdogo wa Bilal alizawadiwa umakamu bara na ccm, lkn tukiachana na hayo ni msomi alichukua degree yake Urusi miaka hiyo na kwa ufupi mambo anayaweza! Mbaya ni kumbeba ndugu wakati mambo hayawezi!!!!!!!
 
..yuko na wake wawili hapo.

..halafu ana text kwa mke wa tatu, wa nne, etc etc.
 
Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967. After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant...
Bilal he's very Educated Nuclear Scientist... Hawa wanawake Miaka ya 60's nadhani walikuwa wadogo sana...
 
..kwa tamaduni zetu waafrika ni polygamous.

..inaelezwa kwamba kikwazo kikubwa ktk kueneza Ukristo Tanganyika kilikuwa hili suala la wake wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom