Dk Mwakyembe arejea nchini

Kama kweli mwanaume aseme alichoahidi kusema.Maana wabongo ni mabingwa kwa propaganda,ooh eti mafidi wamefanyia na hapo mlengwa ni El.Fanyeni kaza bana
 
Mungu ni mkubwa na muweza wa yote. Pole sana Mhe. Mungu akuongoze vyema katika hali hii. Tuendelee kumwombea
 
mungu ni mkuu. uwezo wake wapita vyote kama Mungu hajaamua hakuna litakalowezekana kwa binadamu. Karibu Kaka nyumbani.
 
Hatujapewa taarifa za uchunguzi wa ugonjwa wake............vp inteligensia hawapo?
 
Naamin Damage imeisha fanyika katika mwili wa mwakyembe hawezi akawa 100% fit.
 
Poisoning of Alexander Litvinenko

From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

Alexander Litvinenko at University College Hospital


Alexander Litvinenko was a former officer of the Russian Federal Security Service, FSB and KGB, who escaped prosecution in Russia and received political asylum in the United Kingdom. He wrote two books, Blowing up Russia: Terror from within and Lubyanka Criminal Group, where he accused the Russian secret services of staging Russian apartment bombings and other terrorism acts to bring Vladimir Putin to power.
On 1 November 2006, Litvinenko suddenly fell ill and was hospitalized. He died three weeks later, becoming the first confirmed victim of lethal polonium-210-induced acute radiation syndrome.[SUP][1][/SUP] According to doctors, "Litvinenko's murder represents an ominous landmark: the beginning of an era of nuclear terrorism".[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP]
Litvinenko's allegations about the misdeeds of the FSB and his public deathbed accusations that Russian president Vladimir Putin were behind his unusual malady resulted in worldwide media coverage.[SUP][5][/SUP]
Subsequent investigations by British authorities into the circumstances of Litvinenko's death led to serious diplomatic difficulties between the British and Russian governments. Unofficially, British authorities asserted that "we are 100% sure who administered the poison, where and how", but they did not disclose their evidence in the interest of a future trial. The main suspect in the case, a former officer of the Russian Federal Protective Service (FSO), Andrei Lugovoy, remains in Russia. As a member of the Duma, he now enjoys immunity from prosecution. Before he was elected to the Duma, the British government tried to extradite him without success

Una maana hiyo hapo juu au?

quote_icon.png
By TUMBIRI
Tunamkumbusha tu kwamba asidhani ndio amepona. Akumbuke tu 'Pollinium 310' inaua taratibu. Inaweza chukua hata miaka miwili. Sisi tulimshauri asiingize kwenye serikali ya Mk*we*re akaona tunamwonea wivu! Haya hayo ndio matokeo yake!"
 
Tunamshukuru Mungu kwa kumponya Dr.Mwakyembe, bla bla zingine za pollinium 310 mtazieleza kwa wakati wenu!!!!!
 
Monday, 12 December 2011 20:42



dk-mwakyembe-hoi.jpg


Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe

Patricia Kimelemeta

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe, amerejea nchini akitokea Hospitali ya Apollo nchini India alikolazwa kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa ngozi. Dk Mwakymbe aliondoka nchini Oktoba 9 mwaka huu kwenda nchini India baada ya hali yake ya afya kuzorota huku ngozi yake ikionekana kudhoofika.

Baada ya kukaa India kwa takriban miezi miwili, jana saa 7:00 mchana, Dk Mwakyembe aliwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ndege ya Shirika la Qatar Airways.

Habari zilizolifikia gazeti hili jana mchana zilieleza kuwa baada ya kutua jijini Dar es Salaam, Dk Mwakyembe aliondoka moja kwa moja kuelekea mkoani Mbeya. Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Familia na Mbunge wa Lupa, Victor Mwambalaswa alisema, afya ya mbunge huyo wa Kyela, ni nzuri ndio maana ameruhusiwa kutoka hospitali.

“Ni kweli Dk Mwakyembe amerejea nchini salama .Tunamshukuru Mungu, hii inatokana na madaktari waliokuwa wakimpatia matibabu kumpa ruhusa baada ya kuona hali yake ni nzuri na kwamba anaweza kuendelea na majukumu yake kama kawaida,” alifafanua Mwambalaswa na kuongeza:

“Kutokana na hali hiyo, tunaamini kuwa, kurudi kwake nchini, kutaleta matumaini mapya ya afya yake.” Msemaji huyo wa familia alisema, baada ya kurudi, Dk Mwakyembe atapumzika kijijini kwao Kyela ili aweze kujumuika na wanafamilia katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Chrismasi na mwaka mpya, kabla ya kuanza kazi rasmi ya ujenzi wa taifa mwakani.

Alisema, kutokana na hali hiyo anaamini, sala za wananchi ni miongoni mwa mambo yaliyofanya apone haraka na kurudi nyumbani Kuugua
Taarifa za kuugua kwa Dk Mwakyembe zilianza kuvuma mwanzoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu baada ya kuanza kupata matibabu nchini.

Hata hivyo, kutokana na afya yake kuendelea kuzorota, Serikali ililazimika kumkimbiza nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

Taarifa za awali, zilisema Dk Mwakyembe alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari ambapo alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Lakini, taarifa hizo za ugonjwa wa kisukari zilipingwa na baadhi ya washirika wake wa karibu kisiasa, ambao waliamini Naibu waziri huyo, alilishwa sumu iliyosababisha nywele zake kunyonyoka, ngozi ya mwili wake kupepetuka na kutoa unga, huku akiwa amevimba. Hata hivyio ilielezwa kuwa, madaktari nchini India ndio pekee ambao wangeweza kuangalia namna ya kumsaidia katika ugonjwa huo.


Kwenye red unauhakika? au uandishi kanjanja? kwa nini usiulize hizo habari zilizowafikia! mzee wetu yupo kunduchi anapumzika baadae ndio atakwenda bush. mungu hashindanishwi na kitu chochote shame on you mafisadi mshindwe kwa jina la yesu!!
 
Tunamkumbusha tu kwamba asidhani ndio amepona. Akumbuke tu 'Pollinium 310' inaua taratibu. Inaweza chukua hata miaka miwili. Sisi tulimshauri asiingize kwenye serikali ya Mk*we*re akaona tunamwonea wivu! Haya hayo ndio matokeo yake!

kwa jina la Yesu amepona. Ushindwe"
 
karibu tena Tanganyika , ulichelewa kidogo ungesherekea 50 Uhuru na kunyimwa Nishani eheeee, Mungu akulinde
 
Wewe mpu----vu, kwa Yesu Pollinium 310 ni kama maziwa fresh matamu ya ng'ombe wa kienyeji. Kwake yeye Jina lipitalo majina yote hakuna sumu. Kila kitu kimetakaswa. KARIBU NYUMBANI MPENDWA WETU. Asante Yesu Sifa kwa Yesu.

mmh mstari wa kwanza. Kwengine kote is ok.
 
Pole sana kamanda! Umesha vua nguo usiogope kuoga, Na Mungu wa Ibrahim, Isaka, na Yakobo, Atakulinda na kukufunika kila unapo ingia na kutoka!
 
The champions of human rights inevitably face persecution from the entrenched authorities and the powers that be. This is a constant of history; it is inescapable. All victories for human rights have been won as the fruit of such struggles.

Therefore, it is necessary to always view things from a long-range perspective. By so doing, one becomes able to perceive the essence of the matter, and to see the broad path to victory that lies ahead.
 
Back
Top Bottom