Dk John Magoti anakifilisi chuo cha Nyerere Kigamboni

Status
Not open for further replies.

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
SIACHE KUISOMA YOTE:
DK: MAGOTI MKUU WA CHUO CHA NYERRE NA BWANA LWAMBANO NI MAFISA

WANAKIUA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE SASA KIMEKUWA CHUO CHA KUMSAHAU NYRERRE. RAIS KIKWETE ALIKOSEA KUMPA MKATABA MAGOTI BAADA YA KUSTAAFU ALIPEWA MKATABA WA MIAKA 5, AKAMALIZA AKAPEWA WA MIKA 2 KWAKUWA NI KADA... WA CCM DIKTETA.

TAARIFA AMBAYO IMETUMWA NA WAFANYAKAZI WA CHUO KWA WAZIRI MKUU PINDA,POLISI NA TAKUKURU MPAKA SASA HAIJAFANYA CHOCHOTE.

Mzee aliongezewa mkataba Ijumaa,jumamosi ujenzi wa hosteli uliokuwa umekwama chuoni ukaanza,tupo walimu tunaodai madeni tunaambiwa pesa hakuna ila kuna pesa ya kumwagilia miti dawa MILIONS ZA PESA ETI KUUWA WADUDU ,watu wanakula tu MATUMBO KAMA PIPA.

MAGOTI NA LWAMBANO WANAASTAHILI KUFUKUZWA KAZI. HOJA HIZI HAPA

1.LWAMBANO alimuunganishia ajira ndugu yake ERASTO MHAGAMA anaejua fika kuwa anatumia vyeti vya KENETH MAPUNDA nakumpeleka kusomeshwa na serikali MBA mlimani,alipomaliza tu akapandishwa cheo tofauti na wafanyakazi wengine ambao tupo chuoni na MBA ZETU miaka hatujapandishwa, mbali na hivyo kabla ya miaka 2 ya kisheria kupita akapelekwa kusoma PhD na mshahara wake wa zaidi ya milioni 1 na nusu akilipwa.

Tulipiga sana kelele tukapuuzwa baada ya gazeti kutishia kuandika > MAGOTI AKAMSHUSHA CHEO NA TULIPOZIDI KULISEMEA HAKUCHUKUA HATUA BADALA YAKE TUNAAMBIWA ERASTO KAAMUA KUCHA KAZI.WAKATI ALISOMESHWA NA NA ALIKUWA AKILIPWA MSHAHARA HUO MKUBWA : MAGOTI NA LWAMBANO WAMEITIA HASARA SERIKALI WANASTAHILI KUFUNGWA JELA.

2.NGONO: WAPO WALIMU WANAOA HAPA CHUONI BILA KUFATA SHERIA YA MIAKA 2, PIA MWALIMU BUKUKU, MALIGANYA NA KIHOYI PAMOJA NA DAKTARI WA CHUO WANAJULIKANA FIKA KWA KUDAI NGONO KWA WANAFUNZI WA KIKE ,HILI LIMESEMWA SANA NA MWALIMU BUKUKU ALIKAMATWA NA SAUTI YAKE ILIYOREKODIWA IKIDAI RUSHWA NA NGOGO KWA mwanafunzi alierudishwa mwaka, mwanafunzi aliandaa mtego na kutuma elfu 90 kwa Mpesa na mwalimu alimuita Kimara Korogwe akidai ngono ili mwanafunzi aendelee na masomo,baada ya suala hilo kulipuliwa na mwanachuo ambae kwa sasa KAFUKUZWA CHUO NA AMEKISHTAKI CHUO ambapo chuo kimemlipa wakili milioni 10 huku wakijua wanaficha ukweli , MWALIMU BUKUKU alisimamishwa kwa wiki 1 tu kwa kosa hilo la kudai NGONO na kutetewa na mpenzi wake mjumbe wa bodi BI: SARAH MWAKYAMBIKI ambapo ushahidi wa sauti kwenye memory card ulipotezwa mbele ya Mr Mushi aliekuwa naibu mkuu wa Chuo hijapokuwa bado tunao kwenye laptop na tutauweka mitandaoni siku zijazo .

Baada ya mambo kulipuka mwanafunzi aliekuwa ameambiwa arudie mwaka wa masomo aliitwa aendele na masomo yake na mwalimu akimwambia kuwa utaona tu,akarudishiwa pesa zake na alizotuma kwenye simu kwa lazima na aliekuwa mkuu wa idara ya jenda mzee wa miaka 75 bila kustaafu mzeee CHAMRIHO na mwaka huu amefelishwa tena na kuambiwa arudie mwaka ILI wathibitishe kuwa mwamafunzi alifeli kweli jambo ambalo mwenyewe analikataa .

DK MAGOTI ANALIJUA HILI YUPO BIDHE NA MKTABA WA UJENZI WA HOSTELI.

MWALIMU KIHOYI (MDAI NGONO MKUBWA KWA WANAFUNZI WAKIKE) SASA KAPANDISHWA CHEO NA KUWA MKUU WA IDARA YA UALIMU AKIWA NA MASTERS YAKE. MAGOTI ANAJUA KUWA CHUO KIZIMA HAKUNA MTU MWENYE PHD, NA ANAHOFIA KUWA WATACHUKUA NAFASI YAKE .

3.BWANA MAGOTI ANAJUA FIKA KUWA SERIKALI HAIRUHUSU KUMUAJIRI MTU AKIWA NA MIAKA 40,MAGOTI AMEMUAJIRI LWAMBANO KWA MIKATA HEWA AMBAE TAYARI ALIFUKUZWA KWA UFISADI KWENYE TAASISI YA KAHAWA NA CHAI, BWANA HUYU AMEAJIRIWA CHUONI MWAKA 2004 AKIWA MZEE TAYARI NAKULIMBIKIZIWA VYEO, LWAMBANO NDIO MSAJILI WA CHUO,YEYE NI MJUMBE WA BODI,YEYE AMEPEWA PIA CHEO CHA MUHADHIRI (LECTURER) AKIWA NA MASTERS TU wakati walimu wengine wote wanalipwa kama asistance lecturer.

LWAMBANO ANAMILIKI MALI NYINGI NA SASA AMENUNUA SHAMBA RUFIJI AMBAPO KILA WIKEND ANATUMIA MAGARI YA CHUO CHA UMMA KWENDA SHAMBANI KWAKE. MAGOTI ANATUMIA MAGARI YA UMMA YAENDE NYUMBANI KWAKE KUCHOTA MAJI. UFISADI HUU NDIO UMEMSABABISHA ALIEKUWA NAIBU MKUU WA CHUO KUKATAA KUENDELA NA NAFASI HIYO,NA MAGOTI KUMTEUWA MWALIMU AMBAE ANAWEZA KUWA KIBARAKA WAKE KUKAIMU.

4.DK MAGOTI KWAKUJUA SERIKALI IMEKATAZA KUCHAGISHA GHARAMA ZA MATIBABU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARY NA VYUO WALIOJIUNGA NA BIMA YA AFYA ,ALIWACHANGISHA ZAIDI YA WANACHUO 300 TANGU MWAKA 2010 HADI 2012 LAKI 1 KILA MWAKA MPAKA JUZI TU ALIPOLAZIMISHWA NA MGAZETI, JE FEDHA ZA WALIOCHANGISHW A AWALI MAGOTI UNAZIRUDISHA LINI? MAANA MATUMIZI YAKE HAYAJULIKANI NA WANACHUO HAWAKUSHIRIKISHWA.

CHUONI HAKUNA HOSPITALI BALI ZAHANATI YA VYUMBA 3 NA INA DAKTARI 1 TU,DAWA MNAPEWA NA SERIKALI NA TABIBU ANALIPWA NA SERIKALI FEDHA HIZO MAGOTI UMEPELEKA WAPI??

MAGOTI UNAJUAFIKA KUWA VYUO VYA UMMA VINATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA, ILI WANAFUNZI WACHANGIE ELFU 54 KWA MWAKA NA SI LAKI 1 UNAYOWA TOZA SASA WANACHUO ZAIDI YA 1500, MAGOTI HAUTAKI ZAHANAT I YA CHUO KIJIUNGE NA MFUKO WA BIMA YA AFYA, KWAKUWA UNAJUA UNAKULA HIZO FEDHA, HUU NI WIZI, UMEINGIA MKATABA BINAFSI NA HOSP YA BURHANI JUZI ETI MWANACHUO AKIZIDIWA AENDE HOSP HIYO, KWANINI CHUO KISIJIUNGE NA BIMA YA AFYA NA WANACHUO WAKIWA LIKIZO WATUMIE BIMA HIZOO KUTIBIWA KWENYE HOSP ZAO ZA MIKOANI??? MAGOTI UNASTAHILI KUWA JELA . TUTAKUANDAMA KWA UKWELI HUU MPAKA UTAKAPOFUNGWA JELA.

DHAMBI YA UFISADI HAITA ACHA KUKUTAFUNA DK MAGOTI AMBAE KWA TAARIFA UNATETEWA NA MSAIDIZI 1 WA RAIS AMBAE ANAKUFANYA UNAONGEZEWA MIKATABA,KILA KITU KINAMWISHO MAGOTI UNASTAHILI KUWA JELA .
 
HUYU MZEE ANA AMINIKA NA CCM KUFUNDISHA WATUMISHI WA CCM JE ATAWASAIDIA WaTUMISHI WA CCM?

NA amenunua vitabu 1200 kwa tsh milioni 97 mkuu wa maktaba alipomfuata nakutaka ufafanuzi kwanini kitabu cha tsh elf 20 kariakoo msambaza awauzie kwa tsh laki na elfu 20 alimwambia nyamaza na mpaka sasa bado anamshughulikia mkuu huyo wa maktaba

waziri mkuu pinda aliponmgea na watumishi tulitoa malalamiko yetu na hatua zikachukuliwa baada ya muda kidogo wale wote waliosema wakat wa waziri mkuu kikaon sasa mmoja mmoja anaacha kazi kwa vitisho

dk huyu amesha tumia zidi ya tsh milion 100 kwenda india kutibiwa macho

bwana lwambano wanaekula nae sasa anamafuso 8 na anafanyakazi chuoni kama mwajiri mkuu,leckcha na mwenyekiti wa zabuni kazi zote anajipa mwenyewe

SARA MWAKYAMBIKI AMBAE N MPENZI WAKE AMEMFANYA KUWA MKUU WA CHUO ZAZNBAR WAKATI HUO HUO SARA AKIMTETEA KWENYE BODI MWALIMU BUKUKU ALIETUHUMIWA MWAKA JANA KULA RUSHWA YA PESA NA NGONO ILI KUFAULISHWA WANAFUNZI MPAKA LEO MWALIMU HUYU ANATETEWA NA YUPO, SISI WALIMU WA ZAMAN HAPA TUNATENGWA SANA NA HUYU MZEE ANASEMA WAZI KUWA KTK NCHI HII HAKUNA WAKUMCHUKULIA HATUA
 
Dah!!! Japokuwa uandishi haufanani kabisa na mtu aliyefika form 4, but ujumbe tumeupata na tutaufanyia uchunguzi, ikigundulika kuwa ni kweli basi hatua za kisheria zitafuata mkondo wake. Pole sana mkuu.
 
Mwandishi wa habari hii ni mwalimu kweli? Ama kweli elimu yetu ina matatizo makubwa kuliko tunavyofikiria!
 
Huo uandishi wa mtoa mada ni kama wa mwanafunzi aliekomea kidato cha pili. Ndio sababu hata huyo bwana mpiga magoti anashindwa hata kuwapa nafasi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nipo nje ya nchi kwa kifupi hicho chuo kinanuka sana kwa ngono hasa walimu kuwalazimisha wanafunzi wa kike kwa kutumia nafasi zao.
 
Huo uandishi wa mtoa mada ni kama wa mwanafunzi aliekomea kidato cha pili. Ndio sababu hata huyo bwana mpiga magoti anashindwa hata kuwapa nafasi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Uwe unakuwa serious with serious issues! Hata wewe hujakamilika.
 
nashindwa kupata picha, kama mwandishi ni mwalimu sijui kama mwanafunzi ataweza kuandika sentensi hata moja iliyonyooka!
 
na wewe inawezekana kabisa ni mhadhiri! simaanishi mwandiko bali uwezo wake wa kuunda sentensi ili kufikisha ujumbe kwa hadhira.
 
CCM kila mtu ana mradi wake
JK miradi ya gesi na mengine mnayajua
Kinana mradi wa tembo wetu na mengine mwayajua
Ma polisi wana miradi yao pia
Lowasa ana miradi .
Pinda na Makinda mnaijua miradi yao sasa mnamshangaa Magoi ? Yeye aliona Mwalimu kafa masikini kwa jina la wataznania hawezi kukubali lazima naye ale size ya kamba yake .Ni nani ndani ya CCM hana mradi au si Fisadi ? Mnitajie hata mmoja .
 
Ukisikia chuki binfsi ndo hii. Dr Magoti namfahamu sana hawezi kufanya upuuzi huu.
Dah!!! Japokuwa uandishi
haufanani kabisa na mtu aliyefika form 4, but ujumbe tumeupata na
tutaufanyia uchunguzi, ikigundulika kuwa ni kweli basi hatua za kisheria
zitafuata mkondo wake. Pole sana mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom