Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,168
- 56,662
Mkuu Ushi Wa Rombo,
Heshima mbele mkuu na wewe umeshitukia duh! Jf kwa vichwa
bwana!
Kama ndo mawazo yenu hayo bathi nyinyi ni vilaza wa mwisho!Hahaha Dr Watson
was Right!
Mkuu Ushi Wa Rombo,
Heshima mbele mkuu na wewe umeshitukia duh! Jf kwa vichwa
bwana!
Hivi kweli jamani kuna evidence yoyote au ni redio mbao tuwivu? my foot! utamwoneaje wivu mtu usiemjua au kua karibu nae? very cheap comment!
kama ameshindwa hapa tz sidhani kama atakuwa na jipya huko zaidi ya kupokea posho tu za vikao,unless kama kuna namna wakubwa hapa nchini wamekuwa wakiingilia maamuzi yake ya kiutendaji na hivyo kuwa vikwazo vya yeye kuweza kutimiza majukumu yake vizuri...hakuna anae fahamu hilo so far!
mwizi ni yule aliyethibitishwa na mahakama za kisheria.First lady mbona unashabikia "ufisadi" waziwazi? Au na wewe ni fisadi? Kidogo inatia shaka maana huyu ni mwivi na hata watoto wanajua kwamba huyu Dr. Hosea bin Fisadi ni mwivi mkubwa. Tunaomba watanzania tuwe "serious" na nchi yetu sasa, sio wakati wa kushabikia mambo ya namna hii. Ni wakati wa kupambana na hawa jamaa kwa nguvu zetu zote, nawashangaa sana sana wanaompongeza huyu Dr. Uozo, kama hawashindi kula chakula cha mchana kwake basi wake zao na waume zao hawaishi bila Dr. Uozo.
Si hilo tu, nahisi sana kwamba hizi ni mbinu zingine za CCM kutuchanganya maana yawezekana sana JK akienda huko anawapigia sana chapuo wale mafisadi ili waonekane huko nje kwamba wao ni "clean" na wanachapa kazi. Kwani hatuoni taasisi za Kimataifa zikimsifia JK kwamba amepiga bao wakati hapa tunakufa kwa hali mbaya? Hizo ni mbinu za mafisadi wakubwa (wa nje) na hivi vifisadi vidogo hapa nchini kutupoteza maboya tuone tunajikanyaga.
Ukweli utabaki pale pale, Hosea ni Uozo na tukimpata nafasi ni kumlenga.
huyu kazi takukuru imemshinda na pia yeye mwenyewe ni fisadi. Hajafanya lolote katika kuwafungulia mafisadi mashtaka. Kamati ya richmond ilipendekeza afukuzwe kazi, sasa kwa ajili ya usanii wa jk wa kutomfukuza kazi amepewa kazi ya kimataifa ambayo hakustahili kuipata kutokana na utendaji wake dhaifu.
hiivi wewe mama j5 unaejiita sio kosa lako ila nadhani ni ufinyu wa tafakuri yako kichwani sikutofautishi na waziri fulani wa kike(mwenyekiti wa kina mama sijui) ambaye huwa anapata tu uwaziri pasipo nasababu ya msingi poleni sana kwa mawazzo yenu mgandoHongera sana Dr Hosea wenye wivu wajinyonge!
Ukilinganisha na kwa wenzetu, tuna uafadhali sana. Kwa maoni yangu anastahili, tena sana tu!
unajua nimeelewa kitu huyu bwana amepelekwa huko ili hpa bongo aonekane hajatimuliwa ila ukweli ni kwaamba mkulu wa nchi hayuko tayari kumvumilia jinsi alivomvua nguo mbele za watukama ameshindwa hapa tz sidhani kama atakuwa na jipya huko zaidi ya kupokea posho tu za vikao,unless kama kuna namna wakubwa hapa nchini wamekuwa wakiingilia maamuzi yake ya kiutendaji na hivyo kuwa vikwazo vya yeye kuweza kutimiza majukumu yake vizuri...hakuna anae fahamu hilo so far!
bro hii mijamaa ya UDOM nni mbona ina mawazo mgando hivo?..........pambaf saoKama ndo mawazo yenu hayo bathi nyinyi ni vilaza wa mwisho!Hahaha Dr Watson
was Right!
:bump:ama kweeli bado kuna wana JF wana matongotongo machoni wakati kumeshakucha.Hongera Dr Hosea kwa kazi nzuri wewe nabii usiekubalika nyumbani.