Dk Hoseah ateuliwa kuingia katika 'Takukuru' ya kimataifa

kama ameshindwa hapa tz sidhani kama atakuwa na jipya huko zaidi ya kupokea posho tu za vikao,unless kama kuna namna wakubwa hapa nchini wamekuwa wakiingilia maamuzi yake ya kiutendaji na hivyo kuwa vikwazo vya yeye kuweza kutimiza majukumu yake vizuri...hakuna anae fahamu hilo so far!
 
Ukilinganisha na kwa wenzetu, tuna uafadhali sana. Kwa maoni yangu anastahili, tena sana tu!
 
First lady mbona unashabikia "ufisadi" waziwazi? Au na wewe ni fisadi? Kidogo inatia shaka maana huyu ni mwivi na hata watoto wanajua kwamba huyu Dr. Hosea bin Fisadi ni mwivi mkubwa. Tunaomba watanzania tuwe "serious" na nchi yetu sasa, sio wakati wa kushabikia mambo ya namna hii. Ni wakati wa kupambana na hawa jamaa kwa nguvu zetu zote, nawashangaa sana sana wanaompongeza huyu Dr. Uozo, kama hawashindi kula chakula cha mchana kwake basi wake zao na waume zao hawaishi bila Dr. Uozo.

Si hilo tu, nahisi sana kwamba hizi ni mbinu zingine za CCM kutuchanganya maana yawezekana sana JK akienda huko anawapigia sana chapuo wale mafisadi ili waonekane huko nje kwamba wao ni "clean" na wanachapa kazi. Kwani hatuoni taasisi za Kimataifa zikimsifia JK kwamba amepiga bao wakati hapa tunakufa kwa hali mbaya? Hizo ni mbinu za mafisadi wakubwa (wa nje) na hivi vifisadi vidogo hapa nchini kutupoteza maboya tuone tunajikanyaga.

Ukweli utabaki pale pale, Hosea ni Uozo na tukimpata nafasi ni kumlenga.
mwizi ni yule aliyethibitishwa na mahakama za kisheria.
naanza kupata wasiwasi kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wetu. dunia inathibitisha tofauti na propaganda za wabongo
 
Dr Hossean huko nje credibility yake ni kubwa sana, hapa nyumbani kazidiwa nguvu na waliomteua na wanasiasa wenye nguvu Mafisadi kama Lowassa,
 
huyu kazi takukuru imemshinda na pia yeye mwenyewe ni fisadi. Hajafanya lolote katika kuwafungulia mafisadi mashtaka. Kamati ya richmond ilipendekeza afukuzwe kazi, sasa kwa ajili ya usanii wa jk wa kutomfukuza kazi amepewa kazi ya kimataifa ambayo hakustahili kuipata kutokana na utendaji wake dhaifu.

nawe uwe objective mkuu
 
Hongera sana Dr Hosea wenye wivu wajinyonge!
hiivi wewe mama j5 unaejiita sio kosa lako ila nadhani ni ufinyu wa tafakuri yako kichwani sikutofautishi na waziri fulani wa kike(mwenyekiti wa kina mama sijui) ambaye huwa anapata tu uwaziri pasipo nasababu ya msingi poleni sana kwa mawazzo yenu mgando
 
kama ameshindwa hapa tz sidhani kama atakuwa na jipya huko zaidi ya kupokea posho tu za vikao,unless kama kuna namna wakubwa hapa nchini wamekuwa wakiingilia maamuzi yake ya kiutendaji na hivyo kuwa vikwazo vya yeye kuweza kutimiza majukumu yake vizuri...hakuna anae fahamu hilo so far!
unajua nimeelewa kitu huyu bwana amepelekwa huko ili hpa bongo aonekane hajatimuliwa ila ukweli ni kwaamba mkulu wa nchi hayuko tayari kumvumilia jinsi alivomvua nguo mbele za watu
 
huyu jamaa hafai kumung'unya wala kulumangia...nashangaa cheo alichonacho kimemshinda ,wanampa ulaji mwingine..napata shinda aina ya taarifa wanazozipata hao pua ndefu huko ulaya..inatia shaka.
 
Back
Top Bottom