Dk Helen Kijo Bisimba: Sakata la Akwilina (RIP) Rais afanye zaidi ya kutweet

Mtu wa kushangaza sana huyu. Unatuma rambi rambi kwa wazazi kupitia tweet!!! Si ajabu wazazi wa Aquilina hawajui hata tweet ni kitu gani. Kama si chuki zake za kutisha, UdU, na roho mbaya Aqulina asingepoteza maisha yake ile Ijumaa.



Chanzo: Mwananchi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kibiti roho za wasio na hatia zilipotea hatukusikia kauli yeyote ya huyo bi simba leo anazungumza unafiki!
WALE WAUWAJI TUNA MDA HATA WA KUWAJADILI POLE KAMA N NDUGUZAKO

WALICHEMSHA WALITAKAKUANZISHA HIMAYA YAO WATU WASHAJIPANGA..Z
 
Kibiti roho za wasio na hatia zilipotea hatukusikia kauli yeyote ya huyo bi simba leo anazungumza unafiki!
Kibiti walikuwa waislam,lakini sasa ameanza kufahamu kuwa hakuna mwislam wala mkristo katika hili,balaa likianguka linaanguka kwa watanzania wote
 
Mtu wa kushangaza sana huyu. Unatuma ranbi ranbi kwa wazazi kupitia tweet!!! Si ajabu wazazi wa Aquilina hawajui hata tweet ni kitu gani. Kama si chuki zake za kutisha, UdU, na roho mbaya Aqulina asingepoteza maisha yake ile Ijumaa.
Hahahaa rambirambi kijijini kwa tweeter.
FB_IMG_1519070657713.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata LHRC ilianza na kutweet ...huyu mama aache hadaa na anatakiwa awaachie vijana ukurugenzi wa hiyo taasisi ...asiwe dikteta
mnataka aachie madaraka ili muweke kibarakaa wenu sio. mmenoa. ukiona kiongozi wa taasisi yeyote analalamikiwa na ccm jua huyo hakubalianii na maujinga yao
 
Kibiti roho za wasio na hatia zilipotea hatukusikia kauli yeyote ya huyo bi simba leo anazungumza unafiki!
Hivi unajua matukio ya kibiti yalikuwaje......siku ukijua wahusika naamini utahama nchi. Chukulia leo unagundua mkeo huwa anatoka usku na kukuacha chumbani na kukusaliti sebuleni....utafanya nini...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom