Diwani wa Magamba kafungwa jela lakini anendelea na vikao vya halmashauri

Sikafunje

Member
Feb 22, 2009
38
6
Kuna taarifa nimezipata kuwa kuna diwani mmoja amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la jinai lakini baadhi ya viongozi wa CCM wamemsaidia yeye kutumikia kifungo cha nje pamoja na wenzake aliofungwa nao, nasikia anaendelea kushikiria nafasi yake ya udiwani na kuhudhuria vikao kama kawaida akivuta na posho, je, ni halali? wanasheria hebu tujuzeeni. Huyu ni diwani wa Kata ya Ngonga huko Kyela Mbeya anaitwa Kileo walivyosema wananchi wa huko.
 
Kifungo cha njee sawa kipo kisheria na hasa kwa makosa madogo au adhabu ndogo kama ya kwake (miezi3) ila kushiriki vikao hapa tunahitaji ufafanuzi wa kisheria.
 
Kuna taarifa nimezipata kuwa kuna diwani mmoja amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la jinai lakini baadhi ya viongozi wa CCM wamemsaidia yeye kutumikia kifungo cha nje pamoja na wenzake aliofungwa nao, nasikia anaendelea kushikiria nafasi yake ya udiwani na kuhudhuria vikao kama kawaida akivuta na posho, je, ni halali? wanasheria hebu tujuzeeni. Huyu ni diwani wa Kata ya Ngonga huko Kyela Mbeya anaitwa Kileo walivyosema wananchi wa huko.
Ukihukumiwa kwa kosa la Jinai unaruhusiwa kuendelea na Utumishi wa Umma??
 
Daaaah!, huo ni Ubakaji wa Misingi ya Utawala Bora!

Sikafunje=sijavunja/sijachenchi!
 
Msingae hiyo huko mwanga diwani wa shighatini alibaka mwanafunzi wa kidato cha pili hata kabla ya kampeni mwaka juzi lakini chama chake kilimpitisha akagombea bila hata aibu na hata kesi yake inaahirishwa kila mara tangu wakati huo hadi sasa haijulikani itaisha lini pengine kuna maelekezo maalum hiyo ndiyo tanzania
 
Ni kweli diwani huyo alibaka na anaendelea bado na tabia hiyo ya kufanya mapenzi na wanafunzi kwa kisingizio atawalipia ada na amekuwa akifanya hivyo kwa wasichana wanaotoka familia maskini hapo ukienda mwanga unaonyeshwa alio na anaowarubuni kwa njia hiyo
 
shindwa pepo..........
 
Kuna taarifa nimezipata kuwa kuna diwani mmoja amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la jinai lakini baadhi ya viongozi wa CCM wamemsaidia yeye kutumikia kifungo cha nje pamoja na wenzake aliofungwa nao, nasikia anaendelea kushikiria nafasi yake ya udiwani na kuhudhuria vikao kama kawaida akivuta na posho, je, ni halali? wanasheria hebu tujuzeeni. Huyu ni diwani wa Kata ya Ngonga huko Kyela Mbeya anaitwa Kileo walivyosema wananchi wa huko.

hii kali sasa.
 
Ni kweli diwani huyo alibaka na anaendelea bado na tabia hiyo ya kufanya mapenzi na wanafunzi kwa kisingizio atawalipia ada na amekuwa akifanya hivyo kwa wasichana wanaotoka familia maskini hapo ukienda mwanga unaonyeshwa alio na anaowarubuni kwa njia hiyo

Sasa wanaJF haiwezekani kuweka mtego wakumnasa ili sheria ichukue mkondo wake? udiwani anabaka,akpata ubunge itakuwaje?
 
Hebu apimwe huyo haka kaugonjwa ketu,

Pengine ni jeneza hilo anasambaza maambukizi tu kwa watoto wa wapiga kura wake
 
Hivi hadi anafanya hivyo serikali ipo au haipo? Inasikia au haisikiii??maana inakera sana,
 
Kuna taarifa nimezipata kuwa kuna diwani mmoja amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la jinai lakini baadhi ya viongozi wa CCM wamemsaidia yeye kutumikia kifungo cha nje pamoja na wenzake aliofungwa nao, nasikia anaendelea kushikiria nafasi yake ya udiwani na kuhudhuria vikao kama kawaida akivuta na posho, je, ni halali? wanasheria hebu tujuzeeni. Huyu ni diwani wa Kata ya Ngonga huko Kyela Mbeya anaitwa Kileo walivyosema wananchi wa huko.

Na wewe nae ni mtanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa lako? hata kuandika Kiswahili vizuri hujui?
 
Hayo yanawezekana sana ndani ya CCM. Kumbuka Ditopile! Wakati mwingine wananchi wanalaumiwa kuwa wanalalamika tu hawachukui hatua. Lakini ukweli ni kuwa mfumo wowote wa utawala/uongozi una taratibu zake, kwa maana kuwa wachache hupewa mamlaka ya kuongoza na kufanya maamuzi kwa niaba ya walio wengi. Tatizo kubwa tunalokabiliana nalo sasa ni kwamba IDADI YA WANAOFANYA MAAMUZI POFU NA YASIYO NA MANUFAA KWA JAMII IMEONGEZEKA SANA' ni kwa sababu hiyo wengiwao wanaogopa kuomba nafasi za uongozi, ubunge, udiwani kupitia vyama vya upinzani! Inawezekana tu kama kila mmoja atatimiza wajibu wake!
 
Sikafunje,
Si ungesema tu ni diwani Wa Ccm Wilaya ya Kyela?

Ili upoteze haki ya kuwa diwani au mbunge inatakiwa ufungwe kifungo cha miezi Sita na zaidi au katika kipindi cha miaka mitano uwe na vifungo zaidi ya kimoja ambavyo jumla yake ni zaidi ya miezi Sita.

Kwasababu ni miezi mitatu na Kama huo muda Wa vikao hauingiliani na masaa ya kutumikia adhabu yake, kisheria hakuna tatizo kabisa.
 
hapa utawala ndio tatizo ninaimani sheria zipo ila zimebaki kuchakaa tu au ndani ya makabati
 
Back
Top Bottom