Wapumbavu bwana! Meseji mbili tu umeshalegea, we si ulijifanya chadema kumbe uvccm unaemwogopa mbunge mtarajiwa wa 2015!! Nimeamini kuna wakati ubongo huwa unakataa kufanya kaziWaii! Comrade hapa ni kupigwa mumepigwa vizuri sana hivi visingizio visivyo
Na mantiki wekeni kando msije kuwa kama mbaazi pale ikosapo tunda.....