Diwani wa CHADEMA Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........

Waii! Comrade hapa ni kupigwa mumepigwa vizuri sana hivi visingizio visivyo
Na mantiki wekeni kando msije kuwa kama mbaazi pale ikosapo tunda.....
Wapumbavu bwana! Meseji mbili tu umeshalegea, we si ulijifanya chadema kumbe uvccm unaemwogopa mbunge mtarajiwa wa 2015!! Nimeamini kuna wakati ubongo huwa unakataa kufanya kazi
 
Frank nawe unaongea pumba, utasemaje cdm imeshindwa kwa kuwa watu hawajui kusoma wala kuandika. Hayo uliyajua baada ya kushindwa au ...Na wakati kata ilipkuwa cdm hao hao watu walijua kusoma na kuandika miaka miwili baadaye wapenzi wa cdm hawajui k&k. Acha ujinga utachekwa, sema watu wameanza kuchoka maandamano yasiyo na tija na kupotezewa muda bila sababu. Kubali cdm imeshindwa kihalali, watu washaamia AIRTEL
Iko hiv si kila mtu ni mshabiki wa chama kama wewe nacho sema hapa watu wa Bangata ambao ndo wapiga kura hawajui kuandika wala kusoma, hawa watu tuliongea nao mmoja mmoja walikuwa wanatumbia tungewapa kura lakini tayari watu wa ccm jana walikuja wakatupa hela na hela elfu ishirini na wao waliwahidi kuwa watawapa kura sasa wasipo fanya hivyo wanaogopa laana maana waliwapisha, baada ya kuwaelewesha sana na kuongea na wananchi na kuwaeleza kuwa kura ni siri zao na hela walizo kula ni zao walizoibiwa hivyo wanarudishiwa kiasi kidogo tu, walituelewa lakini magamba wakasanda siku ya kupiga kura wakasomba watu wao Monduli wakambia wale wazee wakifika pale kwenye kituo cha kupiga kura waseme hawajui k&k alafu anamuita mtu mmoja kati ya wale walio letwa, kudadeki magamba walisababisha watu wengi kujidai kuwa hawajui kusoma wala kuandika mpaka kwenye kituo changu nilikataa wale vijana kuwepo nje ya kituo cha kupiga kura lakino nishindwa.
 
Tunawajua manjeree ni wepesi sana hasa mkipewa nyama choma na bia hua mnaachia tu.hamtupi shida tunawajua kwanza ndio mnaoongoza kwa ombaomba hapa town na mmechapika sana.wazee wa hatua,mkisikia harufu ya nyama tu mnaendda kuuza kiwanja,mtabaki kua makoro mpaka kufa.
 
HIVI HII FORUM NI YA chadema tu?? Acheni wengine waongee mtajuwaje sasa udhaifu wenu?? Endelea kutuelimisha acha waugulie wameonja joto ya jiwe na gazeti lao la kizushi DAIMA leo liliandika eti CHADEMA yaigaragaza CCM UDIWANI SASA KESHO SIJUI WATAANDIKA NINI MASIKINI
 
Mchango wangu umeishia hapa maana maoni yangu yanafutwa. Hii ni kuinusuru chadema?? Lakini watanzania ndo wataamua mie natoa maoni tu jamani
 
Wana Jamii wenzangu mi natoka kata ya huyu mh Gibson na namfahamu vizur, naamini sisi sote katika familia hii(JF) tuna akili timamu. Swala la mh Gibson kuuza CDMA hajawai kutokea kwan huyu jamaa amejitoa mzimamzima kukomboa taifa hili kwa kusapoti upinzani kwa jadiri ya uwezo wake.
Na hilo swala la kwamba ametoa range kwa chama si la kwel kwan hilo gari ni lake na amepaka rangi ya CDMA kwa mapenzi yake binafsi kwa chama
 
Hizi tuhuma kuhusu mh Gibson ni za mizizi ya visa na havina mantik hata chembe. Uchapakazi wa huyu jamaa ndo uliofanya wanachama pamoja na raia wenye mapenzi mema kwa taifa hili kumtaja Kama mbunge mtarajiwa 2015 na sio yeye ndo kajitangaza. Jamani tulete hoja za msingi hapa na sio kupotosha JF kwa kupost fitina.
 
Mtu kama wewe siwezi kukutofautisha na soksi na viatu......... Manake ukiabudicho hukiamini ila akiabudicho Gibson kwako burdaaaaani...... Pole

mimi siwezi kukutofautisha na debe tupu kamwe haliachi kutoa mlio!tabula rasa
 
Chadema ni taasisi, hakuna aliye juu ya taasisi hiyo,,,,tumeshindwa tunajipanga for future and that future is 2015
 
Bulula usilo lijua litakusumbua, tuachie chadema tujitathimini wenyewe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni Diwani ya kata ya Olturoto kwa tiketi ya CDM ambaye kwa asilimia 95 amesabisha kata kwenda kwingine. Pamoja na jitihada zake za kutoa pesa zake mpaka kufikia kiwango chake cha mwisho huyu jamaa kaonekana kuwa nincompoop;

Kimsingi huyu jamaa baada ya kutoa lile liRange lake likapigwa rangi za chama basi ameshaanza kujiona kuwa yeye ndiye kila kitu ndani ya Chama Mkoani Arusha na hakuna kinachoweza kufanyika bila yeye. Na amekuwa akijitunuku majina hasa lile la mfadhili mkuu wa CDM Mkoani Arusha.

Jeuri hii na kiburi hiki ndiyo ilimfanya adharau viongozi wadogo wa Kata ya Bagata na hata Wilaya ambao ndio waliokuwa chachu ya CDM katika Kata hiyo kwa kuwabebesha tuhumu nzito na kutokana na hizo nguvu zake za pesa hakutaka hata kuwapa nafasi ya kusikilizwa jambo ambalo liliwapa hasira wanachama wengi hasa wa Sasi na kuamua kukihama Chama hicho.

Jamaa amekuwa akijinadi kuwa ndiye Mbunge wa Jimbo la Arumeru na kama Chama hakitampitisha basi Chama nacho kisahau ufadhili wake na gari lakee arudishiwe. Kauli hizi ndizo zilizomgaribi na watu wameamua kumwonesha kuwa kwa tabia aliyonayo hata huo Ubunge ausahau. Hii inatokana na yeye kuonekana kutumia pesa nyingi kumbe anachotegemea ni kulipwa fadhila na Chama kwa kuteuliwa kuwania kiti cha Ubunge. Hivyo jamaa kunyukwa Bangata ni funzo tosha kwake na kaambiwa huo ni mwanzo tu.

Viongozi wa ngazi za juu kuanzia Mkoa na hata Taifa wameonesha kumwogopa sana huyu mtu manake walifikishiwa malalamiko ila mpaka Kata inaondoka hawakuchukua hatua zozote ikiwa ni kwa kumwonya hata kwa maneno. Hivyo ni dhahiri kuwa nguvu za pesa zinaendela kudhihirisha namna zinavyotesa vyama vya siasa Nchini.

Na nguvu hizi zimedhihirishwa na namna ambavyo Chama kiko tayari kupoteza ushindi na si kuwakwaza wale wenye kukisaidia. Yani Sabodo naye angeingia kwenye Siasa hali ingekuwa tete............ Gibson hongera sana

Shondola! Huyu katudanganya leo kutwa! Kwanza kuna thread alileta yenye uongo wa kupotosha ! Na huenda amevuta ugoro!
 
Kitambo sana kabla ya Jamaa kuja Iringa kwenye Uchaguzi Mdogo wa kalenga na alitusaidia kuweka Msingi kwenye Kata ya Kiwere ambayo kwa sasa inaongozwa na CHADEMA, na hatimaye Mwaka 2015 akachaguliwa kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi.
 
Back
Top Bottom