Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Leo asubuhi kwenye eneo la Kilombero,kata ya levolosi kulikuwa na kasheshe kubwa kati ya Diwani wa Levolosi kwa tiketi ya CHADEMA kamanda Nanyaro,na wakala wa kampuni ya KMPL aliyekuwa anatoza ushuru wa maegesho.
Diwani huyu aliwakataza kutolipa maana ni kinyume cha sheria,na hakuna kampuni yeyote iliyopewa tenda ya kukusanya ushuru kwenye eneo hilo maana sio stendi bali ni kituo cha kuratibu magari yanayoenda kwa babu,na kitendo chochote cha kutoza kodi kitapandisha nauli za kwenda kwa babu zaidi,baya zaidi huyui wakala hajapitishwa rasmi na vikao vya baraza la madiwani,wakala akakataa ndipo diwani akaita polisi na wakala kupelekwa kituo kikuu cha polisi,nako huko OCD akakataa kuwaweka ndani ndipo huyu kamanda Nanyaro akamweleza DC na sasa hawa wakala wapo ndani.