duh .... anadai halafu anajinyonga ..... angedaiwa je?
RIP
Wa Chama gani?
Maskini wee kweli hela mwanaharam, diwani wawatu kafa hivihivi! ATAREST IN PEACE KWELI?
Diwani kacheche asingejinyonga, tungeshangaa. Hii ni laana ya padre volka paroko wa kanisa la katoliki la mlangali. Kabla ya kuwa diwani, bwn. Kacheche alikuwa anafanya kazi parokia ya mlangali na aliondolewa pale kwa tuhuma za wizi wa fedha nyingi za padre volka.
Padre volka alimsihi sana arudishe zile pesa na jamaa akagoma kata kata. Na ulaaniwe, yaelekea padre volka alimsomea albadili. Anyway tumwombee.