Diwani kata Mlangali Ludewa ajinyonga

Alikopesha watu Binafsi hela ili wasaidie Mtu kupata ubunge, Ni hela za Saccos ya walalahoi, walishindwa vibaya na deo yule Wa Filikunjomb, hawajafanikiwa kuipa. Damu ya marehemu hakika I mabegani mwao na vizazi vyao vyote
 
filikunjombe naye asema kupitia facebook yake
Ni kweli jana jioni, tumeondokewa na diwani wetu Rudolf Chaula, ambaye amepoteza uhai wake kwa kujinyonga na kamba nyumbani kwake. Polisi toka Ludewa wameenda, Mlangali asubuhi hii ili kubaini tatizo hasa ni kitu gani. Hata hivyo, marehemu ameacha ujumbe kwamba ameamua kujinyonga, kwa kuwa kuna mtu alikuwa anamdai tshs. milioni 81, mali ya saccos ya mlangali, naye alikuwa hataki kumlipa. Ni nani aliyemkopsha hizo pesa, basi wenye taarifa zaidi, wanaweza kutusaidia. Tumwombee marehemu, na pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki
 
Alikopesha watu Binafsi hela ili wasaidie Mtu kupata ubunge, Ni hela za Saccos ya walalahoi, walishindwa vibaya na deo yule Wa Filikunjomb, hawajafanikiwa kuipa. Damu ya marehemu hakika I mabegani mwao na vizazi vyao vyote

Kauli yako haijakaa wazi, jaribu kuifafanua ili ueleweke, na kama tukitaka kuchangia maoni ni vema ueleweke vizuri kwanza.
 
Watafiti inabidi wafanye utafiti kwa nini watu wa Iringa wanapenda sana kujining'iniza
 
Ni kwamba, marehemu ameacha ujumbe, hata hivyo pesa imesaidia kidogo mambo yao ya uchaguzi, nyingine kadhulumiwa na mfanyabiashara.
 
R.I.P.
Mdaiwa lazima atakuwa Gamba ambalo lipo juu ya Sheria. Diwani akaona bora ajinyonge maana hata akimshtaki ni bure
 
Diwani na deli la Mil 81 nawezekana ee..kwenye maeneo kama hayo...? nadhani ilikuwa na % yake then ikala kwake..Kudadak unadai unajiua..ungedaiwa ungeua??
 
[h=6]

[/h][h=6]''Ni kweli jana jioni, tumeondokewa na diwani wetu Rudolf Chaula (CCM), ambaye amepoteza uhai wake kwa kujinyonga na kamba nyumbani kwake. Polisi toka Ludewa wameenda, Mlangali asubuhi hii ili kubaini tatizo hasa ni kitu gani. Hata hivyo, marehemu ameacha ujumbe kwamba ameamua kujinyonga, kwa kuwa kuna mtu alikuwa anamdai tshs. milioni 81, mali ya saccos ya mlangali, naye alikuwa hataki kumlipa. Ni nani aliyemkopsha hizo pesa, basi wenye taarifa zaidi, wanaweza kutusaidia. Tumwombee marehemu, na pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.''[/h]Hayo ni maneno ya Deogratias Haule Filikunjombe mbunge wa Ludewa mkoani Njombe akielezea kifo cha diwani huyo wa CCM.

source; Deogratias Haule Filikunjombe mbunge wa LUEWA.
 
[h=6]
[/h][h=6]''Ni kweli jana jioni, tumeondokewa na
diwani wetu Rudolf Chaula (CCM), ambaye amepoteza uhai wake kwa
kujinyonga na kamba nyumbani kwake. Polisi toka Ludewa wameenda,
Mlangali asubuhi hii ili kubaini tatizo hasa ni kitu gani. Hata hivyo,
marehemu ameacha ujumbe kwamba ameamua kujinyonga, kwa kuwa kuna mtu
alikuwa anamdai tshs. milioni 81, mali ya saccos ya mlangali, naye
alikuwa hataki kumlipa. Ni nani aliyemkopsha hizo pesa, basi wenye
taarifa zaidi, wanaweza kutusaidia. Tumwombee marehemu, na pole nyingi
kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.''
[/h]Hayo ni
maneno ya Deogratias Haule
Filikunjombe
mbunge wa Ludewa mkoani Njombe akielezea kifo cha
diwani huyo wa CCM.
source; Deogratias
Haule Filikunjombe
mbunge wa LUEWA.

Inasikitisha sana. Ila huo mkopo si wa halali. Saccos hiyo ina mtaji kiasi gani hadi iweze kumkopesha mtu mmoja pesa yote hiyo??
 
Hayati Diwani wa Mlangali Mh. Chaula.png Picha ya Marehemu, Mh. Kacheche, Chaule, Aliyekuwa Diwani wa Mlangali ambaye alijinyonga kwa shinikizo la deni alilowakopesha waliojifanya rafiki zake shs milioni 81 na wakashindwa kulipa. Deni hilo lilimtesa sana, alikuwa akilia sana na walipomthibitishia kuwa hawata mlipa, alidhani suluhisho ni Kifo. Kwa imani yake, hatazikwa kama mkristo kwani katenda dhambi kubwa, ni kuua tu roho wa Mungu. Tusiue roho zetu wala za wengine.

Laiti angeliwashirikisha wana JF, Angelipata suluhisho mbadala.

Picha kwa hisani ya waandishi wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Iringa
 
alijinyonga kwa shinikizo la deni alilowakopesha waliosana na walipomthibitishia kuwa hawata mlipa, alidhani suluhisho ni Kifo. Kwa imani yake, hatazikwa kama mkristo kwani katenda dhambi kubwa, ni kuua tu roho wa Mungu. Tusiue roho zetu wala za wengine.

Laiti angeliwashirikisha wana JF, Angelipata suluhisho mbadala.

Picha kwa hisani ya waandishi wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Iringa[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom