Diwani kata Mlangali Ludewa ajinyonga

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Diwani wa kata ya mlangali wilaya ya ludewa(CCM) amejinyonga usiku wa kuamkia leo. Habari kutoka kwa ndugu wa jirani wa diwani huyo zinasema kwamba diwani huyo alikuwa anamdai mtu sh. Milioni 81 na mtu huyo akagoma kumlipa ndipo diwani akaamua kujinyonga kwa kamba.
 
Diwani wa kata ya mlangali wilaya ya ludewa(CCM) anayejulikana kwa jina la Rudolf Chaula maarufu kama KACHECHE amejinyonga usiku wa kuamkia leo. Habari kutoka kwa ndugu wa jirani wa diwani huyo zinasema kwamba diwani huyo alikuwa anamdai mtu sh. Milioni 81 na mtu huyo akagoma kumlipa ndipo diwani akaamua kujinyonga kwa kamba.
 
duh .... anadai halafu anajinyonga ..... angedaiwa je?

RIP
 
Maskini wee kweli hela mwanaharam, diwani wawatu kafa hivihivi! ATAREST IN PEACE KWELI?
 
CCM na kitu pesa bana; tehe tehe tehe!!

Diwani wa kata ya mlangali wilaya ya ludewa(CCM) anayejulikana kwa jina la Rudolf Chaula maarufu kama KACHECHE amejinyonga usiku wa kuamkia leo.

Habari kutoka kwa ndugu wa jirani wa diwani huyo zinasema kwamba diwani huyo alikuwa anamdai mtu sh. Milioni 81 na mtu huyo akagoma kumlipa ndipo diwani akaamua kujinyonga kwa kamba.
 
kama fedha zilikuwa za EPA.angeshitaki wapi?ameona bora ajimalize tu maana angemshitaki mdai wake naye angeulizwa ulitoa wapi?
 
Rushwa haina LPO, hakuwa na namna ya kumdai kisheria. Kweli CCM na rupees dam dam, kuliko kuzikosa bora kwenda down 6f
 
Huyo anayeuliza chama gani ina maana hajaisoma vizuri hii thread? All in all, kwa sasa naona ndugu, jamaa na marafiki wapo nyumbani kwa mlengwa na taratibu nyingine zinaendelea. Natoka kidogo hapa jf ila ntarudi.
 
watani zangu siku zote huwa nawaambia.....! kwa namna yeyote kusiwe na kamba jirani! wao wakiona kamba ni kama mbwa aonapo chatu!!!
Anyway nimeanzisha mashindano mapya kufufua mila zenu ambazo wengi wenu husingizia ilikuwa zamani!!
WACHINA & WA-IRINGA. nani zaidi wa kutafuna wale rafiki wa binadamu,Walinzi,wawimdaji mahiri,n.k yaani wana sifa kemkem
 
Aaahhh kwa imani za giza mh.maremu diwani kapigwa kipapai kupunguza usumbufu... Usifanye mchezo na jamii ya huko roho inakutoka ukijiangalia..
 
RIP diwani, umewaachia mtihani mkubwa wenzio ccm, umetutoka, ccm watakukumbuka jinsi walivyokupa udiwani, hakika inawauma ccm kuliko ndugu wa damu. inawauma wakikumbuka kuwa wamesha maliza nyimbo kwa wananchi, wanalia wakikumbuka hawana mtu wa kumnadi mgombea wao, wote wamechafuka!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom