Diwani aliyechomwa Kisu afariki dunia

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Diwani kupitia CHADEMA (Morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa CHADEMA Diwani kalazwa hospitalini na Mshikji wake kakimbia !!

My take:
Hii inaashiria nini ?

SOURCE magazeti ya leo
 
duh! Mi nilidhani amechomwa kisu na magamba... Sasa kama ni mpenzi wake hapo sina cha kusema!
 
Yaani wewe hujui kwamba hiyo inaashiria Ulegelege wa Jeshi la polisi. Mtu anaweza kuua na kukimbia asipatikane tena ni msichana tu! Je unategemea watawezaje kuwakamata watu kama akina Chenge walioiibia nchi na kuficha hela nje?
 
CCeM wanaweza kumnunua mke na kula njama. Mbona nimewah kusikia hata muasisi wa taifa hili aliwah patwa na mkasa ambao unaonesha mkolon alimmunua mama M...? Tekniks hizo who knws?
 
CCeM wanaweza kumnunua mke na kula njama. Mbona nimewah kusikia hata muasisi wa taifa hili aliwah patwa na mkasa ambao unaonesha mkolon alimmunua mama M...? Tekniks hizo who knws?
duh ! hii kali sijawahi sikia
 
Hiyo ni ishara tosha kuwa viongozi wa CDM ni wakorofi, wasio na uvumilivu na vinara wa fujo
 
Diwani kupitia CHADEMA (Morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa CHADEMA Diwani kalazwa hospitalini na Mshikji wake kakimbia !!

My take:
Hii inaashiria nini ?

SOURCE magazeti ya leo
Inaashiria kuwa hakukuwa na maelewano katika mahusiano yao
 
aidha sijakuelewa
hawa ni viongozi they are model in the society
Kutoka kwenye hiyo taarifa yako mkuu hao ni wanamahusiano ya kimahaba....
Hilo peke yake linatosha, labda kama taarifa haijaja kamili na ituambie kuwa walichomana wapi hivyo visu na suala zima na mazingira yake, lakini kwa stori ulivyoileta ni rahisi tu kuishia hapo kwenye mahaba yao
.
Kaka mapenzi ni mapenzi tu hata wangekuwa ni viongozi wa dini, linapokuja suala la mapenzi sheria za mchazo zinabadilika.
 
Hilo mkuu linaashiria Pipo POweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez, popote pale. Big Up Chadema, tetea haki yako mwanamke, hakuna haja ya amani kwenye magusiano kama haki yako hupati. HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Yaani wewe hujui kwamba hiyo inaashiria Ulegelege wa Jeshi la polisi. Mtu anaweza kuua na kukimbia asipatikane tena ni msichana tu! Je unategemea watawezaje kuwakamata watu kama akina Chenge walioiibia nchi na kuficha hela nje?

What a great thinking? Hii inathibitisha udhaifu mkubwa wa jeshi letu la polisi. Wamekuwa wakisubiri kuwapiga risasi na mabomu wanaodai haki na kuwaacha wauaji, mafisadi na wezi wa mali ya uma! Wanashindwa kumkamata kiongozi ambaye kila mwananchi anamfahamu hapo?

Tumesikia wamekamata pembe za ndovu za 800 milioni wakapeleka mahakamani za milioni 80. Tumesikia wamekamata madumu 19 ya gongo, mahakamani yamefika matatu tu! Tumesikia wamekamata wezi walioiba mamilioni ya hela za hoteli huko Arusha wakayeyuka na hela. Sasa polisi wamekuwa majambazi. Wakuu wao wanaendelea kuunda tume sijui zinaenda kuchunguza nini wakati walio kamatwa wanasema wazi kuwa polisi waliowakamata ndio wamechukua!
Kwa ufupi ni kwamba jesi letu la polisi sio la kulinda tena raia na mali zao bali ni majambazi wa mali za raia!,
 
diwani kupitia chadema (morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa chadema diwani kalazwa hospitalini na mshikji wake kakimbia !!

My take:
Hii inaashiria nini ?

Source magazeti ya leo
childish!
 
Back
Top Bottom