Diwani aliyechomwa Kisu afariki dunia

Pole kwa familia ya Marehemu.
May her soul Rest in Peace!

......lakini Mkuu hebu tufanyie uungwana siye tusioishi huko Madizini kwa kutueleza iliko hiyo Kata ya Madizini na huyo Marehemu alikuwa anawakilisha Chama gani, ukiweza weka hata jina lake kamili .
 
Kiongozi Mkono mtupu, ni mkoa gani huo na niwachama gani??RIP mheshimiwa diwani.
 
Mkuu mi niko Dar. Madizini iko Turiani Mtibwa. Mimi nilikuwa ukweni kaka xmas. Samahani kwa usumbufu. Jina nalijua hilo tu. aAlikuwa CCM
 
Taarifa za kuaminika ni kwamba Diwani wa kata ya madizini Bi Tuse amefariki dunia leo mchana. Chanzo cha kifo ni kwamba alichomwa kisu mbavuni siku ya xmas na aliyekuwa mchumba wake, ambae baadaye bi Tuse alikataa jamaa kumposa ndipo jamaa akaamua kuwa bora akose na Tuse akose. Mungu amlaze pema peponi. Amin

... Strange and weired ways of looking at issues ... "Ndipo jamaa akaamua kuwa bora akose na Tuse Akose" ... Jamaa siangejichoma yeye KISU!!? ... after all this ... Jamaa yuko wapi? Msituambiwe analindwa na dola!!

Anyway!
RIP Bi Tuse!!
 
huyu si ndio nasikia alichomwa kisu na diwani mwingine wa chadema?
Au kumbukumbu zangu zimekaa arijojo.
 
Samahani ni Morogoro Turiani Mtibwa. Diwani wa CCM kiongozi

Asante sana kiongozi,ngoja niwasiliane na makamanda Regia Mtema na Suzani Kiwanga waanze mikakati ya kuiweka hiyo kata chini ya CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo,malipo ni hapahapa Duniani marehemu lazima alichakachua kura tu.
 
... Strange and weired ways of looking at issues ... "Ndipo jamaa akaamua kuwa bora akose na Tuse Akose" ... Jamaa siangejichoma yeye KISU!!? ... after all this ... Jamaa yuko wapi? Msituambiwe analindwa na dola!!

Anyway!
RIP Bi Tuse!!

All i know ni kwamba jamaa yuko Morogoro Central Police anashikiliwa
 
tupeni taarifa kamili kabla sijasema rip. huyu ndo aliye chomwa kisu na mpenzie? Mia
 
Back
Top Bottom