Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
Kaka, kimekuuma kuliko hata wanawake wanene wenyewe.Ndio maana siku hizi kuna vitanda vya chuma tena imara kuliko vile vya enzi za..., vile vilivyokuwa vinaitwa BANCO, shida ya BANCO ni zile kelele za furaha/maumivu,furaha/maumivu,...TABU KWELIKWELI!!
Mwache Boflo, kapewa target na wamiliki wa chitchat,MMU
he has to post a thread per day, iwe ya msingi au pumba.
Zingine unasoma tu na kupita, ukichangia unam-encourage.