Disadvantages Of Dating A Fat Woman!

Status
Not open for further replies.
Ilikuwa week end moja tu

haturudii tena, tena ni ADii na EMT ndo waliniita.

Afu mie wala sikufanya chochote, walinitoa chumbani ilipofika usiku.
Noted... Nimesoma na thread ya godfather
(spooning, forking and knifing.:A S cry:)
 
Boflo kasema ukweli kabisa msichana utajiachiaje kijinga hadi shape inakuwa kama Pipa au Kiboko bwana? Ki ukweli kama unataka kupata market share nyingi kwenye ulimwengu wa maloveee zuia unene usizidi(sio kwa wanawake tu hata sisi)

Boflo likes dis
 
Mimi kwa ujumla napenda wanene zaidi.. Wanakuwa na mvuto kuliko vimbaombao!!
 
Huku kwetu wembamba wanaitwa sindano za kushonea. ( sorry kama ntakwaza mtu)

Usihofu walio kama wewe pia wananafasi katika makao yangu usitishiwe maana wanene na wembamba wote ni wangu chamsingi ni upendo wakutoka moyoni. Amani iwe nawe.
 
slim is beautiful!...mtoto mkali mwembamba mrefu ni kauli tuliyoizoea!ukisikia mtu anamsifia demu mnene ujua anampa sifa za kutaka kumpa mikasi tu...demu mnene,**** kubwa ukimpata lazima upige sana mibao!!!!....
 
tatizo la wanaume wenye mtizamo finyu wanawaza shughuli za kitandani tu namna gani atamkunja, atambinua n.k. kwenye relationship kuna mambo mengi ambayo yanaweza kukufanya ukapenda mtu wa aina yoyote kwa size, kabila umbile rangi n.k. kwangu mie dhana nzima ya mapenzi na mpenzi ni kama 'kifurushi' ambayo imefungasha mambo mengi sana
 
Kipimo gani unachotumia kujua huo unene? Wanaanzia kilo ngapi? Can you define it? Au watumia BMI?
 
Tia fitna tena .....nipigwe ban kama mwanzo
u can only thank ur stars that a negro aint got no mood. i have better things to do badala ya kujitia janaba na rectal specimen like ya...so save it wateva u wanna say coz i aint in no mood to converse nor read ur shit and don't play a significance card coz u aint got none.
\no homo
 
Judgement taratibu... Ni mkweo unamsema hapa, Hivo kumbuka Mkeo ana genes zangu akifika age yangu atakua hivo hivo.... lol

Ohoo!
Mkwe kumbe uko online!
Mi nikijua mida hii wakubwa mmelala!
Hata hivyo usitilie maanani haya mambo ya Boflo yanaendaga na jokes nyingi !
Bt kiufasaha miili mikubwa ina heshma yake!
Hasa kwa mtunzaji , na pia ni alama ya ridhiko kwa mtunzwaji .
 
Ohoo!
Mkwe kumbe uko online!
Mi nikijua mida hii wakubwa mmelala!
Hata hivyo usitilie maanani haya mambo ya Boflo yanaendaga na jokes nyingi !
Bt kiufasaha miili mikubwa ina heshma yake!
Hasa kwa mtunzaji , na pia ni alama ya ridhiko kwa mtunzwaji .
Wewe kwa kuchemka ni balaa shemeji, watakunyanganya mke.
last time ukamwambia Uncle eti anapaka rangi ya kucha
Leo unawacheka wanawake wanene kumbe Anti anakuskia. lol
 
Wewe umepewa story kuhusu mademu wanene...ungeuliza wenye uzoefu wakupe data. Kwa taarifa yako % kubwa ya mademu wanene wanaweza mambo acha kabisa.Wanauwezo wa kumpandisha juu na kumshusha njemba hatari kabisa. Hao unaowaona kuwa wana uwezo hao ndio ovyo kabisa ni mbwembwe tu za kutembea kiminato kama mamiss huku wakitengeneza nyele kila kukicha.

Uliza kwanza wenywe uzoefu na type zote kaka.
 
Wewe kwa kuchemka ni balaa shemeji, watakunyanganya mke.
last time ukamwambia Uncle eti anapaka rangi ya kucha
Leo unawacheka wanawake wanene kumbe Anti anakuskia. lol

Shem , umekuaje? Mi nakutegemea unapulizia !
Kumbe wakolezea!
Ntatetewa na nani ?
Wayakumbushia hata yaliopita ?
Na ya ndwele ukiyachanganyia! Ndiyo kusema hutosikitika nikipokonywa mke!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom