Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,444
10,235
Wakuu Salaam;

Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.

Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ .

Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.

IMG_20200907_213155_660.JPG

IMG_20200907_213217_810.JPG
IMG_20200907_213233_661.JPG

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.

All the Best.
 
Mwaka jana zilitokea nafasi kama hizi. Mimi nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. Bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa sifa kama walizosema hapa ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.

Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.

Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini(Dodoma). Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.

Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.

Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni chache watu ni wengi (Ni nafuu zaidi kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.

Sikukatishi tamaa nasema uyafahamu mazingira yako ya kazi. Focus kwenye vision yako no matter how hard the situation seems to be. In my case at that time I chose to flee. I wouldn't recommend the same choice for you.

Niliambulia hela ya kujikimu thought.
 
Sahv inafunguka ila kuna sehemu inashida pale kwenye kuchagua subject wameeka ya sayansi sana hakuna hata la art subject hahahahaa afu pia na kwenye kujaza details za secondary hawaja specific ukiweka index no ya 4m itagoma ukiwe details za six itagoma cjui netwok kwangu
mkuu naattach certificates naambiwa zinwe katika pdf wakati tayari ni pdf. nimekwamia hapo
 
Sahv inafunguka ila kuna sehemu inashida pale kwenye kuchagua subject wameeka ya sayansi sana hakuna hata la art subject hahahahaa afu pia na kwenye kujaza details za secondary hawaja specific ukiweka index no ya 4m itagoma ukiwe details za six itagoma cjui netwok kwangu
Naona arts waliokumbukwa ni English tu
 
Mwaka jana zilitokea nafasi kama hizi. Mimi nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. Bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa sifa kama walizosema hapa ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.

Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.

Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini. Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.

Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.

Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni bahati nasibu (Ni uhakika kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.

Niliambulia hela ya kujikimu.
Akili ya mbu
 
Acha uongo sema mpwapwa sehemu gani mm nimesoma mpwapwa miaka hiyooo kulikuwa na changamoto ya waalim wa sayansi na usafiri na mazingira ya kazi yalikuwa magumu sehemu kama RUDI na sehemu chache sio leo acha kulisha watu matango
 
Hivi unaifahamu vizuri mipaka ya Halmashauli ya Mpwapwa? Kufika Rudi unaona umeimaliza Mpwapwa Kabisa.

Anyway uzuri/ubaya wa JF kila mtu anajaribu kuwa smart kuliko mwingine, mimi siko ivo. Ukiuita huo nilioandika uongo nakukubalia napita ivi.
 
Back
Top Bottom