KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,724
- 12,084
Kuna watu wanalengwa hapo.
Magufuli kiulinzi umejipangaje lakini?
Si kila mara anasema tumuombee! Au we huna dini?
Kuna watu wanalengwa hapo.
Magufuli kiulinzi umejipangaje lakini?
Magufuli anaendelea na kazi.
Kuna taarifa kuwa Serikali imeamua kulipitia upya zoezi la upatikanaji wa pass za kidiplomasia na agizo litatolewa kuwa wenye hizo passport na familia zao wazirudishe ili wapewe passports za kawaida. Serikali inasema mawaziri na wafanyakazi wa serikali na familia zao ambao hawapo tena serikalini nao lazima wazirejeshe hizo passport. Taarifa ni kuwa rais, makamo, waziri mkuu, pekee ndio watakuwa na hizo passpot za kidiplomasia na mabalozi wanaowakilisha nchi nje.
Pia kuna agizo kuwa hao pekee ndio watakuwa na ruhusa ya kutumia VIP Lounge pale JKIA. Hii ni kutaka kuondoa utabaka na out of touch ya wafanyakazi wa serikali kutumia vibaya mianya ya diplomatic passports na VIP
Taarifa zaidi zitatoka punde lakini hii kasi ya hapa kazi tuuu naona mimi ishaanza kunishinda.

Kuna kamjamaa fulani ni kakurugenzi kasaidizi kwenye ofisi flani ya umma eti nako kana brown passport. Hizo mbwembwe balaa na ulevi mbwa wake. Hii nchi inatakiwa kurudi kwenye mstari sahihi.
Mleta uzi mimi una nipa maswali mengi kuliko majibu:
1. Je, marais na makamo wa rais ,wastaafu watatumia passport za kawaida..??
2. Je, Mawziri wakuu, mawaziri na manaibu mawaziri wastaafu nao watatumia passport za kawaida..?
3. Je, Makatibu na manaibu wa wizara nao watatumia Passport za kawaida..?
4.Je, Mkuu wa majeshi (CDF), IGP , mkuu wa TISS, na magenerali wa jeshi watatumia passport za kawaida..?
5. Spika na jaji mkuu nao watatumia passport za kawaida ..??
Hapo nimetaja wachache tu , maana hapo kuna wengi tu sijawataja.
mie nadhani hilo bandiko lako halijakaa sawa.
FYI:
Magufuli anaendelea na kazi.
Kuna taarifa kuwa Serikali imeamua kulipitia upya zoezi la upatikanaji wa pass za kidiplomasia na agizo litatolewa kuwa wenye hizo passport na familia zao wazirudishe ili wapewe passports za kawaida. Serikali inasema mawaziri na wafanyakazi wa serikali na familia zao ambao hawapo tena serikalini nao lazima wazirejeshe hizo passport. Taarifa ni kuwa rais, makamo, waziri mkuu, pekee ndio watakuwa na hizo passpot za kidiplomasia na mabalozi wanaowakilisha nchi nje.
Pia kuna agizo kuwa hao pekee ndio watakuwa na ruhusa ya kutumia VIP Lounge pale JKIA. Hii ni kutaka kuondoa utabaka na out of touch ya wafanyakazi wa serikali kutumia vibaya mianya ya diplomatic passports na VIP
Taarifa zaidi zitatoka punde lakini hii kasi ya hapa kazi tuuu naona mimi ishaanza kunishinda.
Mkuu tushukuru tumempata Rais ambaye anajua mianya yote ya madudu ya nchi hii. Na alisema wakati wa kampeni kuwa atafunga makufuli mianya yote, watu walidhani masihara!!!
HAPA KAZI TU
Source ni wewe.Mimi wazazi wangu hawajapata simu hiyo Wala barua hiyo .kwanza ukistaafu tu Kama una diplomatic passport unaikabidhi na kitambulisho unapewa vipya vya kawaida .Hii ni dunia. Nzima .Huyu magufuli atafanyaje watu WAACHE kazi serikalini .Kama wewe ni mtoto wa diplomasia ukifika miaka 18 wanaichukua passport yako unakuwa na yakawaida.
Mkuu tushukuru tumempata Rais ambaye anajua mianya yote ya madudu ya nchi hii. Na alisema wakati wa kampeni kuwa atafunga makufuli mianya yote, watu walidhani masihara!!!
HAPA KAZI TU
Sasa akina nanii watasafirisha vipi sembe?
Dah kama ni kweli sipati picha eti niko kwenye foleni ya ku-check in na waziri fulani!!
Mdogo mdogo tutaheshimiana bado kuwapatisha economy class sasa...