hakishuki labda kwa vile sijatulia sana
hahahahahah diploma si mchezo..ubarikiwe aisee nimecheka ile mbaya!Bibi na mjukuu wakiwa sokoni.
Bibiiploma nilitee paketi ya sukari ziache matunda.
Mwuzaji:We bibi mjukuu wako anaitwa Diploma?
Bibi:Ndiyo
Mwuzaji:Kwanini?
Bibi:Kwasababu nilimpeleka binti yangu chuo na hichi ndo alichorudi nacho
huo ni utoto
Habari za siku mkuu, vipi ulikuwa wapi? Maana nakumbuka mara ya mwisho ulipost uzi wa kunichafua hlf ukaondoka. Nashukuru umerudi na ninaahidi kuendeleza bifu na wewe.
hahahahaha....mbafu zangu...hahahahaha..yan jamaa n bahiri..hahahaha..Mke na mme walienda club,mara mme akaenda counter kuagiza bia,mara kahaba akamfuata mke wa jamaa na kumwambia.
Yaani huyo jamaa usifanye naye ngono mpaka alipe kwanza,mana ukishampa halipi.
otea kilichotokea jamaa aliporudi.