Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

pole sana Dio....Mungu akutangulie katika safari yako......
RIP baba..
 
Pole sana Mkuu akupe faraja katika wakati huu mgumu.Nawatakia pia safari njema!
 
Pole sana ndugu.

Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. Tunamwombea apumzike kwa amani. Amina.

Mungu akutangulie katika safari yako.
 
Pole sana Dio, MWENYEZI MUNGU AKUPE MOYO WA UVUMILIVU NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. amen
 
Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.

Pole sana Dio, msiba utakuwa wapi? Wengne tuko huku tunaweza kuhudhuria mkuu! R I P baba Dio
 
Mkuu wetu, \
Bwana Mungu aisimamie safari yako, na Marehemu apumzike kwa amani baada ya kazi nyingi na changamoto lukuki za dunia hii!
 
Back
Top Bottom