Dina Marios: Angel face!!!

kuhusu uzuri nakiri haya:
  • binadamu wote ni wazuri kwa maana ya uzuri lakini kwa maana ya sura nzuri lazima tukubaliane kwamba wengine wana sura nzuri kuliko wengine.
  • uzuri ni relative na ndio maana hata mdada akimpenda msela mwenye jicho moja (chongo) huishia kubwatuka, 'ah kengeza huyo!'
 
hizo picha ni za mtu mmoja ama tofauti...? manake wawili wazuri na wawili hmmmmmmm....!
...MI naona kama huyo wa kulia mwenye mahereni ya rangi pink wala hawafanani na huyo Dina kiasi uzuri hauonekani kabisa!:A S 13::hand:
 
DSC00058.JPG

mbona kama khadija kopa!
 
Ndiyo alikuwa mzuri. Lakini sasa kajiachia na uzuri unapungua kadiri anavyozidikunenepeana. Mshauri apunguze unene huo. Kwanza si jambo zuri kiafya.

Wengine tunapenda wanene ndio maana kuna wanene,wembamba,wafupi,warefu ili kila mtu apate chaguo lake.
 
ni mzuri.......................!
mnaomponda leteni picha zenu tuzione..............!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom