Dina Marios: Angel face!!!

ni kweli kabisa huyo wa picha ya nne ni dina marios siku ya birthday yake kwa mara ya mwisho; gonga kwenye picha/link hiyo upate details zaidi:
 
Kumbe ndiyo huyu!! nilikuwa simfahamu....
Nakumbuka kipindi cha nyuma alikuwa mchumba wa kijana mmoja wa kihehe aliekuwa anatufugia nguruwe home, alaa..! kabadilika mno siku hizi. Yule kijana alirudi Iringa-makete kurithi mji wa babu yake.....da!
 
uzuri ninaozungumzia ni uzuri wa sura tu; that is, facial beauty; bila shaka marios ana inner beauty lakini kwa leo napendelea zaidi uso wake!!!


dinabc.jpg
 
Acheni kujadili sura za watu sasa this is not the Utamu aisee tumekosa la maana kweli?
 
mmh minampenda saana tena sana
sura ya kawaida bt sauti ndo ya ukweli naweza sema ANAONGOZA KWA SAUTI NZURI KUPITA WATANGAZAJI WOOOOOOOTE BONGO...eennh ndyo utak iyo?habrrrri ndo iyo ana saut nzuri
namfatilia sana pale kat na gea habibu ,zamarad na dadahusna wa zenji sjui suzi kaenda wap na kumfagilia kwake mwamvua wa udom...bt ana saut nzuri

ayo ya maunene yake aah sjjui sura kafanyaje mi syajui bt SHE GOT T..a voice+anaonekana ni mbunifuu saana tu ..
km angeweza angepiga shule zaid angedondokea sociology pale udsm angesmama zaid cz anazungumzaga mengne ya vtabun kabisa bila yeye kutambua..ukitaka kufanya research ya sociology kwenye sphere yoyote km ukimsikiliza uyu bnt kwa moja tu unaweza kupata topic nzuuuri ya kuandikia!
lakin kuna kile kituko cha usiku kinachotoa saut ya kitandan sjui ..LOVENESS sjui nan dahh yan nkimskia tu faaaaaaasta nazma radio she is so FAKE..kamshikia adamu mchovu sjui nan jumapili afta njia panda kile kipnd total request mmh nakipenda bt afta kukishka yeye ahh nimeki off kdg

dna warud lin?gea anatupeleka vyema bt rud mwenyewe bwana
gea mtata kwenye heka heka anajua kuwakamua maswali ..VERY GUUUUUUD!!!!!!!

jinsi ya kutunza kitunguu..nfanyeje vle..et dna?
 
uzuri ninaozungumzia ni uzuri wa sura tu; that is, facial beauty; bila shaka marios ana inner beauty lakini kwa leo napendelea zaidi uso wake!!!


dinabc.jpg

sura kidogo kama marehemu amina.na inaonekana hii picha ni wakati akiwa kigoli kuna nyingine nimeiona pale amejiachia sana.inaelekea ndivyoalivyo sasa hivi.any way she is beautiful.
 
Acheni kujadili sura za watu sasa this is not the Utamu aisee tumekosa la maana kweli?




ah rayb hii ni forum ya sura (jamiiphotos), ambapo picha mbali mbali hukusanywa na/au kujadiliwa- hivyo kuhusu hiyo ze utamu naomba ujishawishi mkuu kwamba tunaiogopa sana tu (ze utamu).
 
Acheni kujadili sura za watu sasa this is not the Utamu aisee tumekosa la maana kweli?

kwa kweli hata mimi sifurahishwi na tabia ya kuleta picha za watu hasa wabongo wanaofahamika na kuzijadili vibaya hapa,
fikiria kama ni wewe utajisikiaje.
halafu mbona ni mzuri sana tu ktk hizo picha zote
 
hana lolote polygon.....

na huo unene kama yale mashangingi ya kariakoo na magomeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom