Dina Marios: Angel face!!!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
dinabc.jpg
dina8bc.jpg
DSC00058.JPG


k+(1).jpg


kwa hakika mungu amemjalia huyu dada sura nzuri!!!!!!
 
mnhhh...naomba huo uwe ni "mtazamo wako".... mie namwona wa kawaida tuu...to my standards she is bellow the pass marks ( ni mtazamo na maoni yangu tuu)
 
He! Kumbe Dina ni mnene hivyo?? Au siyo yeye? Anyway huwa namfurahia sana huyu bibie jinsi anavyoongea kwenye vipindi anavyoviongoza(tangaza)!
 
Ndiyo alikuwa mzuri. Lakini sasa kajiachia na uzuri unapungua kadiri anavyozidikunenepeana. Mshauri apunguze unene huo. Kwanza si jambo zuri kiafya.
 
angel face? I thought malaika wote wala sura za kidhungu au kiarabu!!!!!!!!
 
I adore this lady...the way she is......anajiheshimu sana na pia ni mzuri
 
Kwani huyo anayelishwa keki ndio huyo huyo kwenye picha za mwanzo? Naona kuna tofauti kubwa
 
Kwa kweli uzuri ni relative, kizuri kwangu kibaya kwa mwenzio. Kwangu mimi namuona Dina yuko mwake. namaanisha mzuri.
 
Hakuna binadamu mbaya, kila binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu ndo maandiko yasemavyo, hivyo kila binadamu ni mfano wa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom