Dimpoz kubali hili, humuwezi Diamond

sangujoseph

Senior Member
Nov 30, 2015
164
183
Ommy dimpoz NI miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba NI miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva ambao wanafanya vizuri

kwa sasa nimekuwa nikimfuatilia Mara kwa mara tangu akiwa katika muziki wa band na nimekuwa nikimlinganisha na wasanii mbalimbali lakini nimegundua sababu moja kubwa inayomfanya ashindwe kushindana na aliyekuwa swahiba wake Diamond platinumz.

Dimpoz NI msanii ambae anashindwa kutamba na nyimbo zake binafsi bali amekuwa akifanya vizuri kupitia migongo ya wasanii wenzake na sababu sio kwamba huwa anatunga nyimbo mbaya sema zinashindwa kufikia hitaji la mashabiki wake mfano nyimbo alizoimba mwenyewe wanjera ndagushima achiabody.

ni nyimbo ambazo hazikufanya vizuri ukilinganisha na nyimbo nyingine za kushirikishwa au kushirikisha mfano me&you utamu prokoto mama nainai kajiandae [HASHTAG]#sepa[/HASHTAG] ft Suma mnazalet kwa hiyo inanifanya niamini Dimpoz ni mkali zaidi wa kolabo kuliko akiimba kama Single artist.

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG] [HASHTAG]#sangujoseph[/HASHTAG]
 
Vipi mkuu,kwani Facebook imefungwa hadi ukaamua kuibukia huku?Ok,nilikuwa sijaangalia vizuri,kumbe ni "member".Una takribani mwaka mmoja lakini bado una " kamba mguuni",endelea kuifurahia jf.Jf ni SINIA - Pakuwa unachoweza ila zingatia kuweka hoja zako katika jukwaa husika,ahsante.
 
Nani kakwambia omy yupo kwenye mashindano mziki ni hisia na hisia zinatofautiana unachopenda wewe so kila mtu anakipenda kama unaona uyo mond ni top muweke awe top bila kutafuta support kwa sababu izo ndo hisia zako
 
Back
Top Bottom