"Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO]

Is it the genuine attitude, to honor a person who was the cause of millions to suffer and thousands if not hundreds of thousands to die? Are we for real?

How many of the young and old souls he sent to die for the failed cause?
I know where there is absolutely no suffering and never will be!
 
1963-1922...

Asante duu, mwili wake ulikuwa poa sana ama ndo mchakato mzima wa wakoloni. Hata hivyo thread yako hii inaonyesha jinsi gani tulivyo wagumu kuelewa, kama ambavyo walikuwa hamwelewi Nyerere. Siku nyingine naomba usiweke ktk mafumbo maana utakuja pondwa mawe buree, ohhh
 
sio kila mtu "brain washed " kama wewe. Tafauti ya Dikteta Nyerere na MADIKTETA wengine kuwa aliweza kutabasamu mbele ya watu wake...

Sio siri, jina la Nyerere linawafanya mpepesuke kila mlisikiapo. Vipi kuhusu yule Sheikh wa Visiwani?
 
Mie nawashangaa kwa kweli, historia kwenu imekuwa si tija tena. Historia maudhuhi yake ni kukuwezesha usidumbukie ktk mabaya ulikotoka na kukukwepesha na maovu yatayokuja siku za usoni. Mhhhhh
 
Nyerere alikuwa naenda USA kuonana na wakuu wa UN wakati ule ili watu wake wawe na uhuru kamili. Jaribu kumsilikiza vizuri utamwelewa alikuwa na maana gani.
Kumbe Nyerere naye alikuwa anapenda kwenda US mara kibao tu hata yeye mwenyewe amesahau ni mara ngapi!! lakini hajamfikia JK.
 
Heri "dictator" nyerere kuliko fisadi kikwete...................nchi inaangamia kwa kukosa wazalendo km nyerere na kwa kupata wahuni km kikwete
 
When President Kikwete was given an audience with President Obama.. it was made a huge deal although in fact it was not.. compared to what transpired between Nyerere and his friend Kennedy. Before this meeting there was ongoing discussion on the future of Tanganyika. The meeting was necessitated by the then growing situation in Southern Africa (South Africa and Angola) on which Nyerere had written to Kennedy asking for US's support in bringing it under control. In the letter (which I'll provide sometime next week) Nyerere articulated the reasons why he had to ask for the US's support. In his reply, Kennedy invited Nyerere to visit him and have a person to person conversation on the matter. This is part of the story.
What has dikteta nyerere's visit to US in 1963 got to do with Kikwete?Kama si unafik ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Naona tuanzishe special forum kwa manjuka.

"Dikteta" Nyerere, Nini maana ya hizo koma za nukuu?

zimasimama kuwakilisha kitu fulani, yaani, "Dikteta" Nyerere = "JK" Nyerere.

Mathematically Dikteta = JK
Nyerere = Nyerere.
 
Read btn the lines about thz thread zaidi ya hapo utakuwa unachangia kitu cha ajabu.
Mwanakijiji sasa unakoelekea siko,Naona umelewa sifa sasa unaanza kualibikiwa.Acha kujenga hoja za kuwadanganya vijana walio humu JF maana most of them are young and too naive!Nakushauri badili mwelekeo wa hoja zako zinaelekea kuwa chuki sasa.
 
What has dikteta nyerere's visit to US in 1963 got to do with Kikwete?Kama si unafik ni nini?

Wengi ameshuggulika na kua nyerere ni dikteta au sio lakin ninadhani kulicho muhimu ni kuangalia swal zima la discourse ya mazungumzo ya marais wawili. Rais wa marekani alimusia Nyerere kujenga cohesve society, freedom and equality, Nyerere ne kwa upande wake nae aliahidi kujenga cohesive society. Sasa ninafikiri cha kujadili sana ni kujaribu kuangalia je Nyerere alifanikiwa kiasi gani kufany alvyoahidi na je alliacha Tanzania kama nchi yyenye mshikamano au alikua mdini na aliporomote too tabaka fulani. kazi kwenu
 
Wengi ameshuggulika na kua nyerere ni dikteta au sio lakin ninadhani kulicho muhimu ni kuangalia swal zima la discourse ya mazungumzo ya marais wawili. Rais wa marekani alimusia Nyerere kujenga cohesve society, freedom and equality, Nyerere ne kwa upande wake nae aliahidi kujenga cohesive society. Sasa ninafikiri cha kujadili sana ni kujaribu kuangalia je Nyerere alifanikiwa kiasi gani kufany alvyoahidi na je alliacha Tanzania kama nchi yyenye mshikamano au alikua mdini na aliporomote too tabaka fulani. kazi kwenu

Samahani nimejaribu kuweka sawa makosa yaliojitokeza hapo juu

Wengi wameshughulika na kua nyerere ni dikteta au sio lakin ninadhani kulicho muhimu ni kuangalia swala zima la discourse ya mazungumzo ya marais wawili. Rais wa marekani alimuusia Nyerere kujenga cohesive society, freedom and equality, Nyerere nae kwa upande wake aliahidi kujenga cohesive society. Sasa ninafikiri cha kujadili sana ni kujaribu kuangalia je Nyerere alifanikiwa kiasi gani kufanya alvyoahidi na je alliacha Tanzania kama nchi yenye mshikamano au alikua mdini na aliporomote tu tabaka fulani. kazi kwenu
 
Naona sasa Watanzania na Wadanganyika tunameshaanza kukosa cha kuzungumza. Imenishangaza sana kuona mtu anaanzisha thread ya kumtuhumu Baba wa Taifa marehemu Mwl. J.K.Nyerere(RIP) kuwa ati alikuwa dikteta!

Unless the word "DICTATOR'' has lost its meaning. Kwa namna yoyote ile mimi kama Mtanzania niliyekulia kwenye utawala na malezi ya wakti wa Mwalimu JK huwezi kunishawishi nikubali kuwa marehemu Baba wa Taifa alikuwa dikteta.No way my dear!

Hivi maosema Mwalimu alikuw dikteta mnaweza kuthibitisha udikteta wake? Ninajua kulikuwa na madikteta Afrika kipindi cha uhai wa Mwalimu na yeye akiwa mpenda haki na asiyekubaliana na uonevu wa namna yoyote kwa binadamu wote kabisa kabisa aliweza kushiriki kuwang'oa baadhi ya ma-dikteta hao mojawapo akiwa NDULI IDDI AMIN DADA.

Kulikuwa na kina Bokasa wa Afrika ya Kati na kina Mobutu Kuku wa Zabanga na kina Nguema. Hawa wote walikuwa ni madikteta waliovuka mipaka. waliangamiza raia wao kwa mauji ya kutisha na hata baadhi yao walikuwa wakila nyama za watu waliowaua k.m. Amin na Bokassa.

Mwalimu huwezi kumlinganisha na Jitu kama Iddi Amin au Bokasaa hata kidogo.Nyerere alikuwa kongozi wa watu,asiyependa makuu,aliyejali zaidi ustawi wa Taifa na watu wake. Wengi wa viongozi tulio nao serikali leo hii wamesomeshwa na Nyerere ndani na nje ya nchi kwa pesa ya serikali/walipa kodi. Leo hii mtu anakurupuka na kudai kuwa Nyerere hakuna alichofanya baali alikuwa dikteta tu.

Jaribuni kupima kauli za Mwalimu na mtazamo wake kwa Taifa la Tanzania. Sikilizeni wosia wa Baba halafu ndipo mseme kama kweli Julius Kambarage Nyerere alikuwa dikteta au la.

Mtu aliyetamka kuwa Tanganyika by then and Tanzania thereafter haiwezi kuwa huru mpaka Bara lote la Afrika litakapokuwa huru. Nyerere alimaanisha toka moyoni na alitimiza hiyo ndoto yake kwa kulisimamia hilo na kuhakikisha nchi zote zilizokuwa chini ya Makaburu, Wareno,Waingereza,Wafaransa na Wajerumani zinapata uhuru wake na kujitawala.

Kwa Tanzania tu alikuwa ni Rais makini,mwenye hekima,busara,maarifa na kongozi wa kuzaliwa si wa kuchonga kama tunavyoona.Hakuna kama Nyerere.
Kuna mifano michache tu ambayo Nyerere alikuwa unique ukilinganisha na viongozi tulio nao leo. Nakumbuka wakti ule Ali Hassan Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani yalitokea mauaji yaliyofanywa na Polisi kule Kanda ya Ziwa. Nyerere hakuchelewa kumwajibisha Mwinyi kama Wazir wa Mmabo ya Ndani na akatangaza kujiuzulu mara moja.

Leo hii Polisi wamegeuka kuwa ni chinjachinja hakuna anayewajibika wala anayewajibishwa.Rais wetu anaendeleza tabasamu lake la kinafiki huku akidai kuwa yuko firm on decision making lakini ukweli unabaki palepale kuwa hakuna kitu baali ni longo longo tu.

Hebu mwacheni Baba wa Taifa apumzike kwa amani.
 
Nyerere kama mwanadamu, amefanya mazuri mengi pia mabaya vivo hivyo si malaika. Mazuri aliyo fanya;
Hakika alikuwa Dikteta kwa mafisadi wa aina zote, no nosense. kwa kuwadhibiti hao zama zile kwa uchumi wa pamba, katani, wengi wa viongozi wa sasa wamesoma na kutibiwa Bure. nk nk!
Mabaya aliofanya;
kuwanyang'anya matajiri na kuwapa maskini na wote maskini na tajiri kuwa maskini!
Kushindwa kuwekeza kwenye
Elimu.
Hivyo basi kama sisi leo tuchukue mazuri yake na yaliyo kuwa mabaya tuyaache. Waswahili husema,"Mla kala leo mla jana kala nini!"
 
Back
Top Bottom