"Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO]

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
When President Kikwete was given an audience with President Obama.. it was made a huge deal although in fact it was not.. compared to what transpired between Nyerere and his friend Kennedy. Before this meeting there was ongoing discussion on the future of Tanganyika.

The meeting was necessitated by the then growing situation in Southern Africa (South Africa and Angola) on which Nyerere had written to Kennedy asking for US's support in bringing it under control. In the letter (which I'll provide sometime next week) Nyerere articulated the reasons why he had to ask for the US's support. In his reply, Kennedy invited Nyerere to visit him and have a person to person conversation on the matter.

This is part of the story.

Last edited by a moderator:
Kipindi hicho viongozi wa Afrika inaelekea walikuwa wanaheshimiwa sana na Marekani..Naona Kennedy anakwenda mwenyewe uwanjani kumlaki Nyerere,siyo siku hizi Obama anawasubiria wajipeleke wenyewe WH halafu anawapa vidakika tu!
 
Wamarekani walikuwa wanamuona nyerere kuwa ana nguvu ya ushawishi africa

na wao walikuwa wanapambana na usssr kumbuka...

Na kwa hiyo nyerere ali enjoy yote hayo

sio hiyo ya 1963 na kennedy tu

hata ile ya miaka ya sabini na jimmy carter ilikuwa ya heshima vile vile....

Cold war ilipoisha,

walikuwa hawajui kuwa kuna mtu anaitwa nyerere.....or atleast wali pretend sio muhimu hivyo...
 
your are wrong; Nyerere's stature grew even more after the cold war as he spearheaded another mission of his - debt reduction and removal. His contribution to Jubilee 2000 was unlike of no other leader!
 
of course kwa sababu mashambulizi dhidi yake yanakuja; subiri tu huko Bungeni na kwenye majukwaa yao. Si unajua madikteta wanavyochukiwa..

wewe umekosa adabu tu pia siyo utu wema kumjadili marehemu kwa sababu hawezi kujibu tuhuma dhidi yake na walio hai hawana mamlaka ya kumjibia unless wawe na"lasting power of attorney" yaani ruhusa ya kisheria iliyo tolewa na marehemu kabla hajafa inayowapa mamlaka ya kumsemea.

Hisia zangu ni kwamba wewe unasumbulia na udini, mipango ya watu wenye mawazo potofu kama wewe ni kuwachafua na kuwadhalalisha wenye imani tofauti na nyie ( wafu na waliohai) ili dini yenu ionekane bora na superior. Mpango wenu wa muda mrefu ni dini yenu kushika hatamu za siasa, serkali, uchumu, imani na hali ya maisha ya kila siku ya watanzania wote kama wanavyofanya huko misri, sudan, somalia nk

Nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa JMT ambaye ni marehemu, wapo akina Karume, Kawawa, Sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu Karume yeye hakuwa dikteta?

Tukirudi kwa waliohai, Mambo mengi yanazungumzwa juu ya Mkapa na ufisadi lakini hakuna anayetaja ufisadi wa Mwinyi, kwa nini? Wakati wa Mwinyi kulikuwa na ufisadi wa nguvu pia kama wa akina Chavda, Loliondo nk. Mbona Mkapa alianzisha tume ya Warioba ambayo ilibaini ufisadi uliokuwa umekithiri kwenye serkali ya Mwinyi, baadhi ya watuhumiwa pia walifikishwa mahakamani, lakini hakuna mtu anaongelea ufisadi wa wakati huo??? Mama Sitti hakutuhumiwa kwenye kashifa za kifisadi? Mch. Mtikila alipata misukosuko mingi kwa kutaja hadharani mafisadi, siku hizo akitumia msamiati wa magabachori

MMKJJ huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni JKN, BWM, EL, Sumaye, AC na RA aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..
 
Dare not to refer to Mwl. as a 'dikteta'...if Mwl was by then a dictator,none of his forecomers could be diktetaless... to this,we hence conclude that Tanganyika/Tanzania has gone since then through four ditctorial regimes to date...and therefore Tanzania should be remarkably put in a guiness record book by which a new history could be re-written for reference ...Nyerere a 'dikteta'?
 
your are wrong; nyerere's stature grew even more after the cold war as he spearheaded another mission of his - debt reduction and removal. His contribution to jubilee 2000 was unlike of no other leader!

nipo very right actually.....
Tazama vizuri ....
Sijasema nyerere stature ilipungua baada ya cold war...
Nilichosema wamarekani hawakumpa umuhimu....
Wapo viongozi wengi mno ambao wanaheshimika dunia nzima
but wamarekani wanaweza kumu ignore huyo mtu
au kujifanya hawaoni umuhimu wake...........

Mfano mahathir mohammed...
Na wengineo.....

Husikii sana wala kuona kwenye american media hizo stature zao............
 
Mwanakijiji acha kunichafulia cv yangu tafadhali. Hapo ilikuwa Hyannis port Kennedy compound. Mimi ndie wa kwanza toka kwenye mji wetu kufika kwenye lile jumba jeupe! this is very personal, acha kuniharibia jina mjini!
 
wewe umekosa adabu tu pia siyo utu wema kumjadili marehemu kwa sababu hawezi kujibu tuhuma dhidi yake na walio hai hawana mamlaka ya kumjibia unless wawe na"lasting power of attorney" yaani ruhusa ya kisheria iliyo tolewa na marehemu kabla hajafa inayowapa mamlaka ya kumsemea.

Hisia zangu ni kwamba wewe unasumbulia na udini, mipango ya watu wenye mawazo potofu kama wewe ni kuwachafua na kuwadhalalisha wenye imani tofauti na nyie ( wafu na waliohai) ili dini yenu ionekane bora na superior. Mpango wenu wa muda mrefu ni dini yenu kushika hatamu za siasa, serkali, uchumu, imani na hali ya maisha ya kila siku ya watanzania wote kama wanavyofanya huko misri, sudan, somalia nk

nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa jmt ambaye ni marehemu, wapo akina karume, kawawa, sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu karume yeye hakuwa dikteta?

Tukirudi kwa waliohai, mambo mengi yanazungumzwa juu ya mkapa na ufisadi lakini hakuna anayetaja ufisadi wa mwinyi, kwa nini? Wakati wa mwinyi kulikuwa na ufisadi wa nguvu pia kama wa akina chavda, loliondo nk. Mbona mkapa alianzisha tume ya warioba ambayo ilibaini ufisadi uliokuwa umekithiri kwenye serkali ya mwinyi, baadhi ya watuhumiwa pia walifikishwa mahakamani, lakini hakuna mtu anaongelea ufisadi wa wakati huo??? Mama sitti hakutuhumiwa kwenye kashifa za kifisadi? Mch. Mtikila alipata misukosuko mingi kwa kutaja hadharani mafisadi, siku hizo akitumia msamiati wa magabachori

mmkjj huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni jkn, bwm, el, sumaye, ac na ra aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..

mimi nilikuwa nafikiri mwanakijiji anamheshimu na kumsifia nyerere
labda wewe hujamuelewa vizuri....
 
Nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa JMT ambaye ni marehemu, wapo akina Karume, Kawawa, Sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu Karume yeye hakuwa dikteta?

MMKJJ huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni JKN, BWM, EL, Sumaye, AC na RA aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..

Mkuu, soma taratibu hii article ya Mwanakijiji, iko a bit technical if you know what I mean!
 
He always think about Equality ...

Those who know the truth are not equal to those who love it
 
wewe umekosa adabu tu pia siyo utu wema kumjadili marehemu kwa sababu hawezi kujibu tuhuma dhidi yake na walio hai hawana mamlaka ya kumjibia unless wawe na"lasting power of attorney" yaani ruhusa ya kisheria iliyo tolewa na marehemu kabla hajafa inayowapa mamlaka ya kumsemea.

Hisia zangu ni kwamba wewe unasumbulia na udini, mipango ya watu wenye mawazo potofu kama wewe ni kuwachafua na kuwadhalalisha wenye imani tofauti na nyie ( wafu na waliohai) ili dini yenu ionekane bora na superior. Mpango wenu wa muda mrefu ni dini yenu kushika hatamu za siasa, serkali, uchumu, imani na hali ya maisha ya kila siku ya watanzania wote kama wanavyofanya huko misri, sudan, somalia nk

Nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa JMT ambaye ni marehemu, wapo akina Karume, Kawawa, Sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu Karume yeye hakuwa dikteta?

Tukirudi kwa waliohai, Mambo mengi yanazungumzwa juu ya Mkapa na ufisadi lakini hakuna anayetaja ufisadi wa Mwinyi, kwa nini? Wakati wa Mwinyi kulikuwa na ufisadi wa nguvu pia kama wa akina Chavda, Loliondo nk. Mbona Mkapa alianzisha tume ya Warioba ambayo ilibaini ufisadi uliokuwa umekithiri kwenye serkali ya Mwinyi, baadhi ya watuhumiwa pia walifikishwa mahakamani, lakini hakuna mtu anaongelea ufisadi wa wakati huo??? Mama Sitti hakutuhumiwa kwenye kashifa za kifisadi? Mch. Mtikila alipata misukosuko mingi kwa kutaja hadharani mafisadi, siku hizo akitumia msamiati wa magabachori

MMKJJ huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni JKN, BWM, EL, Sumaye, AC na RA aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..

Mkuu, you have missed MMM point, subiri utaona, mwanakijiji is just satirically lighting up the house and pre-empty a few bagels who usually come here for preambles and pH testing
 
Back
Top Bottom