Diamond tena, mpenziwe amsamehe baada ya kucheat na Irene UYOWA

Status
Not open for further replies.
Hii ni list of shame.kama ni kweli then sizana kama kunamtu atavunja record ya liyumba.

Kwani unaishi nchi gani mkuu?mbona idadi hiyo ni ya kawaida sana hapa tz!Hata huyo Diamond kwa hiyo tabia yake,akijihesabia mwenyewe kwa uaminifu anaweza kufikisha zaidi ya mia!Hiki kitendo huwa siri na hivyo yeye ndo huchagua aonekane na nani,wale wa fasta kwa wanaume wakware hufikisha hata mia tatu kwa kipindi cha miaka minne tu!Hata humu JF wamo sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Linda alikuwa kisu.....kama sikosei mama yake mzazi alishawahi ishi maghorofa ya shekilango ubungo zamani.

Kinondoni makaburini pale.....huwa nikiendaga kuzika naiangaliaga ile picha yake mpaka basi.
 
jamani watu wengine kwakuyaongelea ya watu bila ushahidi kamili,wewe ulikua kuadi wa Liyumba? umewajuaje hao? au ulikua ndio ukiwashika miguu mpaka ukasema yote hayo? ebu mengine nayakupite kuna mengi yakufanya kuliko kufatilia ya watu,nadhani ulonayo yakutafuta maisha huja yamaliza ebu fanya yako yakwao wachie wenyewe.........
 
hii list ya kweli, kudos liyumba
 
Mhhhhhhh aisee Liyumba noma sana.
Uzi wa diamond lakini kajadiliwa yeye mwanzo mwisho!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom