Diamond: Sasa atatembea akiwa amekaa hapa.....

Big up sana Platnumz,endelea kuwakimbiza...watabaki stk stk....stk my a$$!!!...

Unapiga mademu wa ukweli.....walisema opa opa sasa unasukuma Prado.....ata siku ukianika mjengo watakuja na la kusema tu....sunajua wana stress za maisha mnyamwezi..wengi shule kuuubwa lakini mpaka kesho akijaeleweka....wengine wamepiga boks mpaka wamekomaa sura bado hawajatimiza ndoto....we kiulaiiiini mtoto wa tandale mbona watakutaka!!!

Ebu wasepe uko na stress zao za kwa muhindi..
 
Nimependa sana comment yako. Nashangaa watu wanasema amenunua gari za wanasiasa, sijui prado ni common sana, wengine eti angeanza na nyumba na blah blah zingine nyingi.

Swali langu ni mbona wengi wenu hapa mjini mna magari na hamna nyumba? Wale wanaosema eti angenunua sijui kama magari ya kina Diddy nawaambia acheni wivu na maneno ya kimbeya mbeya.

Kuhusu nyumba, mbona blogs zilionyesha nyumba anazojenga wiki 2 zilizopita?

Alipokuwa na Opa mkasema celeb gani anaendesha Opa, kanunua Toyota Prado bado mnachonga....kweli binadamu ni noma.

Diamond mimi binafsi nakupongeza kwa kila hatua unayopiga kusonga mbele. Hongera kwa kumjengea nyumba mama yako na hongera kwa kuendelea na kumalizia nyumba yako ya tegeta na hongera kwa kununua Prado.

Acha wasafisha vinywa waendelee kupiga domo.
 
Kama Taifa limejaa watu wenye akili kama hizi basi sishangai Rais JK alipoulizwa ni kwa nini Tanzania ni maskini? na yeye akajibu hata mimi sijui. Yes ni kweli, ni ngumu kujuwa umaskini chanzo chake kama Taifa limejaa watu wa namna hii.
 
Big up sana Platnumz,endelea kuwakimbiza...watabaki stk stk....stk my a$$!!!...

Unapiga mademu wa ukweli.....walisema opa opa sasa unasukuma Prado.....ata siku ukianika mjengo watakuja na la kusema tu....sunajua wana stress za maisha mnyamwezi..wengi shule kuuubwa lakini mpaka kesho akijaeleweka....wengine wamepiga boks mpaka wamekomaa sura bado hawajatimiza ndoto....we kiulaiiiini mtoto wa tandale mbona watakutaka!!!

Ebu wasepe uko na stress zao za kwa muhindi..

Ha ha haaa uko sahihi sana,yaani elimu ya bongo mtu anabaki kujivunia Certificate tu,halafu ooh diamond ana elimu ndogo kumbe stress.
 
Elimu haiko kwenye Vyeti Dada yangu, mtu anayetambia vyeti ni mshamba tu, ndio maana Wazungu wengi wanaotoa ajira ambazo siyo too Professional huwa wanaajili mtu kwa kumpima IQ yake tu hawana mpango na vyeti.

Ukichunguza kwa makini watu wote wenye mafanikio makubwa Duniani hawakutumia vyeti vya darasani kufikia mafanikio hayo, mfano Mzuri ni BillGates ambaye hakumaliza Harvard University.

Tunaowapenda hawa wadogo zetu huwa hatupendi kuwapa sifa za kijinga wala sifa za Marehemu, maana East Africa hii kuliko hakuna zaidi ya Mr Nice na Jose Chameleon, lakini wote mnajuwa tubu aliyonayo sasa Mr Nice lakini mwenzake Jose Chameleone ameweza kumantain na kubaki On Top.

Ningejisikia raha zaidi kama Diamond mbele ya safari aweze kumiliki studio ya kisasa na kuwa na likampuni la ukweli la kusambaza kazi za wasanii na kuwapiga chini wahindi, then hata hawa wanaojiita wasomi waje kuajiliwa katika Management yake. hapa hakuna wivu ila upambe wa kijinga ndio tunaupinga hapa kila siku hauwasaidii hawa wadogo zetu.
 
Hongera sana ni mafanikio, suala la kwamba ajenge kwanza hilo ni suala binafsi kila mtu ana kipaumbele chake mwacheni kijana aamue kwani hela anaitafuta mwenyewe, he deserve it.
 
mhmm bora nipite maana kila mtu ana mtizamo tofauti. mwenye kusifia, kuponda, wivu vyote vimo.
 
Hajajifunza bado, kama si ulimbukeni wa starehe. Kati ya nyumba na gari kipi kinaanza. Utoto unamsumbua.
 
Nimeipenda hiyo maana vyeti vyangu bado vinaning'inia ukutani na bado hakijaeleweka!
 
Back
Top Bottom