Diamond: Sasa atatembea akiwa amekaa hapa.....

Big up sana Platnumz,endelea kuwakimbiza...watabaki stk stk....stk my a$$!!!...


Unapiga mademu wa ukweli.....walisema opa opa sasa unasukuma Prado.....ata siku ukianika mjengo watakuja na la kusema tu....sunajua wana stress za maisha mnyamwezi..wengi shule kuuubwa lakini mpaka kesho akijaeleweka....wengine wamepiga boks mpaka wamekomaa sura bado hawajatimiza ndoto....we kiulaiiiini mtoto wa tandale mbona watakutaka!!!

Ebu wasepe uko na stress zao za kwa muhindi..


hehehe! kuna ukweli ndani yake!! alafu haters kibao ndani ya hii thread
 
Pumbavu............be unique bana unakimbilia gari za wanasiasa.........haya mastaa ya bongo yanakera kila siku magari yaleyale tuuu toyota...........fuc..fuc mimi sifagilii. Sasa tutatofautisheje gari la mnyika na gari la diamond. Aisee acheni ushamba... Nunua kigari chako muundo wa kipekee mpaka kiwe gumzo mjini hapa sas prado jina zeeeeeeeeeeeeeeeeee..........magari ya cccm hayo kaka
muheshimiwa naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu.Nahisi ulikuwa kicwani kwangu
 
Hongera sana ni mafanikio, suala la kwamba ajenge kwanza hilo ni suala binafsi kila mtu ana kipaumbele chake mwacheni kijana aamue kwani hela anaitafuta mwenyewe, he deserve it.
hicho ni kitendea kazi anahitaji kusafiri ni muhimu akijenga nyumba halafu akipanda opa mtasema. Mnataka mpaka mupangie na jinsi ya kutumia pesa zake.
 
Diamond ana myumba 2 na ya tatu iko hatua za mwisho kukamilisha ni mwanamziki mwenye mafanikia nadhani kuliko wote na pia ana despline sana ya matumizi mbali na gari hiyo pia anamiliki range rover
Kakutuma au ndio wewe?mijanaume mingine bana!
 
Kakutuma au ndio wewe?mijanaume mingine bana!

una upeo mdogo sana the way u sound, nyie ndio haters ambao hamtaki kuona mtu ana maendeleo na mkakubali unaweza hata kumroga au kumwekea sumu afe. Diamond ni mwanamuziki mwenye mafanikio sana na tukiwa kama watz lazima tujivunie hilo

Kama unamchukia kwa sababu zako binafsi utakufa na roho yako ya chuki dogo anazidi kupanda chati na anazidi kung'aa na kuikamata Afrika sasa (kama unaangalia Big Brother utanielewa)

Watanzania wenzangu tujifunze kujivunia vitu vizuri vya nyumbani sio kila kitu tunaponda tu ndio maana tunakosa maendeleo kwa roho zetu za chuki
 
Dogo unafanya vizuri, ila ushauri Kuwa unique na mambo yako binafsi na pia rudi shule na elimu ya ziada jinsi star anavyohitajika Kuwa na kuishi. Kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom