Diamond: Sasa atatembea akiwa amekaa hapa.....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kivumah, Jun 20, 2012.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,374
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Hongera Dogo,


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Picha juu ni Taswira mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX.

  source: hakingowi blog   
 2. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Senior Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera zake ila bado kwangu naona ni kawaida sana, akijenga mjengo ndo ntaona kafanya la maana.
   
 3. I

  IKISU Senior Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongela, ila kumbuka kujenga nyumba kwanza, alafu wasanii wa bongo awajifunzi mnanunua magali atapa kupaki auna jenga nyumba kwanza ndio uonyeshe gali likiwa kwenye parking ya mjengo wako, gli sio dili kwani nyumba ndio aset ya kudum gali ni machuma tu ayo likipata ajali kwisha kazi,
   
 4. Black Bat

  Black Bat JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,916
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 38
  awe na health insurance sio akianza kuumwa hapa kina joti waanze kusumbua watu kuchangisha pesa
   
 5. m

  mmteule JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pumbavu............be unique bana unakimbilia gari za wanasiasa.........haya mastaa ya bongo yanakera kila siku magari yaleyale tuuu toyota...........fuc..fuc mimi sifagilii. Sasa tutatofautisheje gari la mnyika na gari la diamond. Aisee acheni ushamba... Nunua kigari chako muundo wa kipekee mpaka kiwe gumzo mjini hapa sas prado jina zeeeeeeeeeeeeeeeeee..........magari ya cccm hayo kaka
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 4,668
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Diamond ana myumba 2 na ya tatu iko hatua za mwisho kukamilisha ni mwanamziki mwenye mafanikia nadhani kuliko wote na pia ana despline sana ya matumizi mbali na gari hiyo pia anamiliki range rover
   
 7. k

  kinubi JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  kwenye red; umeviona au umeambiwa???
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Show off, pakulala kukodi.............upuuuzi.
   
 9. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,440
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 83
  Ana nyumba tatu. Mbili Dar, moja Zanzibar.
   
 10. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Saaafi Dogo, from Opa to PRado and 2 houses.. Dogo is full controlled,ana nidhamu sana ataishi vizuri

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,327
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Hongera zake bana
   
 12. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,440
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 83
  Dogo is [fully] controlled by whom?
   
 13. E

  Enny JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 870
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ana nyumba mbili Tandale kwa Tumbo
   
 14. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,459
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  hebu msilete habari za kijiweni. Hizo nyumba leteni picha zake kama mlivyoleta hiyo picha ya STK yake!
   
 15. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,459
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Unaongelea range rover kama vile unaongelea nissan march eeeh? Kama alikuwa na rover then asingenunua hiyo STK yake.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Yangu iko chumvini, wewe endelea kusifia Wanaume wenzako kwa kitu ambacho una uwezo wa kukifanya. Ndoa za jinsia moja zikiruhusiwa zitaathiri wengi.

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][h=1]2004 Toyota Sequoia SR5[/h][h=2]CLEAN CARFAX * THIRD ROW SEATING * REAR A/C * TOWING *[/h]


  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: ipics-cell-0"][TABLE]
  [TR]
  [TD="class: vs_w-a"][​IMG]


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]  [/TD]
  [TD="class: isumv1_5-cell"][TABLE="class: vi-is1"]
  [TR]
  [TD="colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: vi-is1-lbl"]Item Location:[/TH]
  [TD="class: vi-is1-clr, colspan: 3"]Dallas, Texas., United States[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: vi-is1-lbl"]Time left:[/TH]
  [TD="class: vi-is1-clr, colspan: 3"]5d 04h (Jun 25, 201209:08:59 PDT)[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-bdr, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: vi-is1-lblp vi-is1-solidBg"]Price:[/TH]
  [TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tbll"]US $8,950.00[/TD]
  [TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tblb, colspan: 2"]Buy It NowBuy It Now[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-solid, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-solid_bevel, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-solid, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: vi-is1-lblp vi-is1-solidBg"]Best Offer:[/TH]
  [TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tbll"][/TD]
  [TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tblb, colspan: 2"]Make OfferMake Offer[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-solid, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-solid vi-is1-lbl"][/TD]
  [TD="class: vi-is1-solid"][/TD]
  [TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tblb, colspan: 2"]Add to Watch list


  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-solid"][/TD]
  [TD="class: vi-is1-solid, colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vi-is1-bdr, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: vi-is1-lbl"][/TH]
  [TD="class: vi-is1-clr, colspan: 3"][​IMG] Get low monthly payments

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 17. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wengne tusio wanamuzk pia tuna magari yetu, cjui tunaruhusiwa kuya expose.
   
 18. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tunaomba picha ya nyumba zake....
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Ili iweje!!??
   
 20. m

  mbweta JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 602
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana diamond. Tumia vzuri ela.
   
 21. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #21
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,384
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  naomba nimpongeze! no matter what, he has tried!
   
 22. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #22
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,202
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Big up sana Platnumz,endelea kuwakimbiza...watabaki stk stk....stk my a$$!!!...


  Unapiga mademu wa ukweli.....walisema opa opa sasa unasukuma Prado.....ata siku ukianika mjengo watakuja na la kusema tu....sunajua wana stress za maisha mnyamwezi..wengi shule kuuubwa lakini mpaka kesho akijaeleweka....wengine wamepiga boks mpaka wamekomaa sura bado hawajatimiza ndoto....we kiulaiiiini mtoto wa tandale mbona watakutaka!!!

  Ebu wasepe uko na stress zao za kwa muhindi..
   
 23. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #23
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimependa sana comment yako. Nashangaa watu wanasema amenunua gari za wanasiasa, sijui prado ni common sana, wengine eti angeanza na nyumba na blah blah zingine nyingi.

  Swali langu ni mbona wengi wenu hapa mjini mna magari na hamna nyumba? Wale wanaosema eti angenunua sijui kama magari ya kina Diddy nawaambia acheni wivu na maneno ya kimbeya mbeya.

  Kuhusu nyumba, mbona blogs zilionyesha nyumba anazojenga wiki 2 zilizopita?

  Alipokuwa na Opa mkasema celeb gani anaendesha Opa, kanunua Toyota Prado bado mnachonga....kweli binadamu ni noma.

  Diamond mimi binafsi nakupongeza kwa kila hatua unayopiga kusonga mbele. Hongera kwa kumjengea nyumba mama yako na hongera kwa kuendelea na kumalizia nyumba yako ya tegeta na hongera kwa kununua Prado.

  Acha wasafisha vinywa waendelee kupiga domo.
   
 24. doup

  doup JF-Expert Member

  #24
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 778
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kweli anavyo ni hongera tu.
   
 25. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #25
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Kama Taifa limejaa watu wenye akili kama hizi basi sishangai Rais JK alipoulizwa ni kwa nini Tanzania ni maskini? na yeye akajibu hata mimi sijui. Yes ni kweli, ni ngumu kujuwa umaskini chanzo chake kama Taifa limejaa watu wa namna hii.
   
 26. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #26
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ha ha haaa uko sahihi sana,yaani elimu ya bongo mtu anabaki kujivunia Certificate tu,halafu ooh diamond ana elimu ndogo kumbe stress.
   
 27. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #27
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,923
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 48
  thread nzuri!
   
 28. knownless

  knownless JF-Expert Member

  #28
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauri murua sana huu ninahakika atapita humu na aufanyanyie kazi asije kusumbua watu.
   
 29. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #29
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Elimu haiko kwenye Vyeti Dada yangu, mtu anayetambia vyeti ni mshamba tu, ndio maana Wazungu wengi wanaotoa ajira ambazo siyo too Professional huwa wanaajili mtu kwa kumpima IQ yake tu hawana mpango na vyeti.

  Ukichunguza kwa makini watu wote wenye mafanikio makubwa Duniani hawakutumia vyeti vya darasani kufikia mafanikio hayo, mfano Mzuri ni BillGates ambaye hakumaliza Harvard University.

  Tunaowapenda hawa wadogo zetu huwa hatupendi kuwapa sifa za kijinga wala sifa za Marehemu, maana East Africa hii kuliko hakuna zaidi ya Mr Nice na Jose Chameleon, lakini wote mnajuwa tubu aliyonayo sasa Mr Nice lakini mwenzake Jose Chameleone ameweza kumantain na kubaki On Top.

  Ningejisikia raha zaidi kama Diamond mbele ya safari aweze kumiliki studio ya kisasa na kuwa na likampuni la ukweli la kusambaza kazi za wasanii na kuwapiga chini wahindi, then hata hawa wanaojiita wasomi waje kuajiliwa katika Management yake. hapa hakuna wivu ila upambe wa kijinga ndio tunaupinga hapa kila siku hauwasaidii hawa wadogo zetu.
   
 30. T

  TUMY JF-Expert Member

  #30
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana ni mafanikio, suala la kwamba ajenge kwanza hilo ni suala binafsi kila mtu ana kipaumbele chake mwacheni kijana aamue kwani hela anaitafuta mwenyewe, he deserve it.
   

Share This Page