Diamond Platinum Tanzania, Sasa Kupatikana Spotify

Pi Network

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
290
319
Nikiwa mtumiaji mzuri wa apps maarufu duniani inayoitwa Spotify, kwa mara ya kwanza leo nimesikiliza nyimbo za msanii wetu mkubwa Diamond Platinum ndani ya Spotify.

Hakuna nyimbo nyingine kutoka Tanzania zaidi ya yeye katika apps hii, kwa kweli huyu kijana ni wa Kimataifa na hafananishwi na yeyote.
7fbeeeb687e1f98ae1d8a4ceb572b7f0.jpg

0b06d1bcdf685429344258244f124ef1.jpg
 
Angalia vizuri Alikiba yupo,christian bella yupo,vanesa mdee yupo na hata ben paul yupo we wasearch hawa wapo ,fanya uchunguzi kabla ya kuandika.
 
Wapo kibao tu hadi kina rose mhando
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-04-15-52-06.png
    Screenshot_2016-12-04-15-52-06.png
    72 KB · Views: 53
Back
Top Bottom