jamani shule muhimu, japo kuhudhulia miaka minne inatosha.
Mm simlaumu sana diamond kwani tatizo lake diamond ni hana elimu, angekuwa na elimu ningemlaumu.
kauendelea kaumjadil mzinzi sawa na kaueendekeza umalaya sasa una mwanamkae ana mimba unaend aakwa irene uwoya kipi umekikosa kwenye uchi wa penny uwoya anacho?
Yani huyu dogo ana hitaji ushauri kabisa anako kwenda siko kabisa!
mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade!
Ww kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi wema alipompigia cm na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza Diamond warudiane.