Diamond na Penny

Status
Not open for further replies.
Yule mke wa diamond anayekesha humu jf kumpambania yuko wapi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Siwezi kushabikia UZINZI, huo ni UZINZI... Mungu kaagiza Ndoa Afu Ndio Watoto! Si busara Kupata mtoto nje ya Ndoa. Tumheshimu Mungu. Tatizo Tunawasifia Ma staa hata kama wanafanya kinyume na Maadili ama vile mungu alivyoagiza. Hata mkifanya uzinzi Msiuhalalishe kwa kuwa ni mastaa. MUNGU KWANZA.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
He need his father to teach him how to be a man regardless that he didn't raise or help him much, he can't learn Everything from his mother, I hope he's going to realize that someday he must reconcile with his father.

eti ni kweli kuwa wanaume wengi waliolelewa/walioshi na mama zao tu huwa na tabia kama hii.........KUPENDA SANA WANAWAKE, KUWA NA KAMPANI YA MABINTI ZAIDI KULIKO WANAUME WENZAO?
 
Penny ndio nani???
...Huyo hapo, source: bloggers

diamondnapenny.jpg
 
...Huyo hapo, source: bloggers

diamondnapenny.jpg
Huyu mdada alikuwa rafiki wa wema wa kufa na kupona, nalazimika kuamini kwamba huenda walilianzisha hata kabla ya wema, muda ni mfupi sana tangu aachane na wema hadi kufikia maamuzi ya kuzaa na huyu!!Muangalie mashoga zenu kinadada, unatambulisha mchumba kwa rafiki yeye anakulia timing ampate vipi....anatumia udhaifu wako kula na bebii wako..ohooo mjini hapa KUWENI MAKINI
 
eti ni kweli kuwa wanaume wengi waliolelewa/walioshi na mama zao tu huwa na tabia kama hii.........KUPENDA SANA WANAWAKE, KUWA NA KAMPANI YA MABINTI ZAIDI KULIKO WANAUME WENZAO?

ndivyo wanavyosema, na hata wewe umesema...
 
eti heaven on desert kwani mimba iliingia lini?
gari lina viti vya kulala?
clinic anaenda lini tena!
ahahahhahhahahhhahha watu na kazi zenu!
IMEKUPITAJEEE HII!?
mi simuamini 1000 words bana!mpka uje wewe hapa ndo ntaamini,unafkir uongo?hakyanani vile siamini mwenzako:nono::nono:

Hahahaha jaman
 
Last edited by a moderator:
Huyo Demu Penina na mnyaka tangu enzi anaishi kiwalani. Alikuwa ana act kama jike dume enzi za utotoni. Ana brotha wake anaitwa sheiza alikuwa anatangaza channel 5. Inshort hakuna mke hapo.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom