Diamond na Penny

Status
Not open for further replies.
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake”

kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia “
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA
 
Attachments

  • Diamond-na-Penny-kumnunulia-gari-march-14-2013-800x466.jpg
    Diamond-na-Penny-kumnunulia-gari-march-14-2013-800x466.jpg
    45.2 KB · Views: 334
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema "nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake"

kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu "siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia "
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA

:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Daaah kumbee! Unajua mwanzo sikuamini hii habari lakini sasa nimeanza kuamini! Hivi kweli ajui hata kaagiza gari la sh ngapi? Ina maana kajiandaa kwa Tsh ngapi?
Cc snowhite
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake”

kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia “
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA
 
Last edited by a moderator:
heaven on desert nina suali eti diamond alimfanya matusi penny lini? Je mara ya kwanza alitumia condom? Alipiga bao ngapi? Je condom kama alivaa je ulimvua ww au penny?
 
Last edited by a moderator:
heaven on desert samahani na suali lingine je diamond alimkuta bikira penny? Pls help me na masuali mengi ntakuuliza baadae aaah nimekumbuka eti mara ya kwanza wanafanyana matusi penny alivaa chupi ya rangi gani?
 
Last edited by a moderator:
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema "nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake"

kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu "siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia "
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA

enheeee hapa sasa ndo nimeamini!
eti nianze tu kuamini maneno ya 1000 words !miimi yani kutwa kuzima nimwamini mtu ambaye siyo chanzo cha kuaminika!aaaah wap!
mi naamini verified sosi bana!
unaona sasa we umekuja na picha ya mfano!yule 1000 words alikuwa anatupiga fiks tuuu hapa!
mi nilikataa kabisa kumuamini ujue!ilikuwa lazima wewe ndo useme mi ndo nikubali kuwa YEP!kitu mule mule!
habari hii imfikie BADILI TABIA popote alipo! Matola kuja uone watu wanavotetea ajira zao Ruttashobolwa mwanafunzi wangu hii teaching aid isikukose(we ulikuwa unajua mfano wa gari atakalonunuliwa mama kijacho wewe! Evelyn Salt hii pana kukupita wewe bana!
saaasa heaven on desert mtoto amekaa vizuri kwa tumbo?
 
Last edited by a moderator:
af Kaunga si ulikuwa humjui penny
the right man kumuuliza hili swali ni jamaa anaitwa heaven on desert
mimi huwa namwamini yeye tu wen it comes its diamond we r talking about!
na si unajua huwa siwezi kukupeleka sehemu ukajutia enh!b\
ahahhahahaaah kudaaaadegesi!
 
Last edited by a moderator:
enheeee hapa sasa ndo nimeamini!
eti nianze tu kuamini maneno ya 1000 words !miimi yani kutwa kuzima nimwamini mtu ambaye siyo chanzo cha kuaminika!aaaah wap!
mi naamini verified sosi bana!
unaona sasa we umekuja na picha ya mfano!yule 1000 words alikuwa anatupiga fiks tuuu hapa!
mi nilikataa kabisa kumuamini ujue!ilikuwa lazima wewe ndo useme mi ndo nikubali kuwa YEP!kitu mule mule!
habari hii imfikie BADILI TABIA popote alipo! Matola kuja uone watu wanavotetea ajira zao Ruttashobolwa mwanafunzi wangu hii teaching aid isikukose(we ulikuwa unajua mfano wa gari atakalonunuliwa mama kijacho wewe! Evelyn Salt hii pana kukupita wewe bana!
saaasa heaven on desert mtoto amekaa vizuri kwa tumbo?

mi nataka tu kijua walitumia style gani wakati hiyo mimba inaingia
 
mi hata sijui!
aisee mwl snowhite hii teaching noma!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom