Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Namuona Mange mwenyewe ndio huyu leo umekuja, sasa kama marekani awazibwi mdomo kwann asifungue akaunti ya kuisema serikali ya marekani na watu wa huko? Kiherehere cha nn akaunti yake kulenga bongo ambako tumezibwa midomo?

Msituletee usengelema wa marekani bana, America haiwezi kuwa Tanzania, na democrasia ya marekani na utamafuni hauwezi kuwa wetu. Ndio maana hata wafirwaji Tanzania sio halali mbona hamuwatetei wawe huru kama Amerika

Mwambie Mange aendelee kuuza **** Marekani ila siku akitua Bonge ataandika definition ya Mabwe-pande kwa Makalio
CCM wewe maana hamumtaki msema kweli sisi tuna screenshot tuu tunasambaza
 
Ukiona unafikia wakati Mange anakua chanzo chako cha habari ujue ni majanga.
 
Mi nina wasiwasi siku watu wa Trump wakimdeport atakimbilia wapi manake anasubiriwa kwa hamu wana hasira nae..
 
I understand Mange Kimambi! She always talk sense! Sometimes when you hear something take an extra miles to find out the truth, 90% she speaks TRUTH. I trust her because I found the same information from the reliable sources. So unabaki unashangaa, Sometimes better you stay without trusting her because You might end up Confused!

Zamani Nilijua Ukizaliwa Mwanaume ni Kazi sana, Maana you have to fight on your own 100%.
But Nimekuja kugundua Kuishi duniani nako kuna Changamoto kubwa zaidi kuliko kuzaliwa Mwanaume!
Sometimes Things happen like a Movie! Kuna vitu ukivisikia unaweza ukashindwa kunywa maji, unabaki unamwambia Mungu tusaidie tuvuke salama.

Pale unapozani Mtu kapewa chance kawaida kumbe kapewa kwa sababu ni Mtoto wa nduguye, wakati wewe unadhani ni Mtoto wa ndugu kumbe ni zaidi ya hapo, wakati unataka kuchukulia kawaida unakuta hata kile ulichowaza kumbe ni tofauti.

100% ya watu hasa Viongozi wa Afrika walipingana na Obama, but Wanaishi ktk Maneno ya Obama!

Mungu atunusuru hiki kizazi!
Unaweza ukatamani ukachunge.
 
mmmh ananichosha anavyokazana na kuongelea chura ya bwana mkubwa... ila anavuka mipaka sana sasa hv..
 
Mi nina wasiwasi siku watu wa Trump wakimdeport atakimbilia wapi manake anasubiriwa kwa hamu wana hasira nae..

nimeona mahali kasema hata akienda kumnyea Trump hawezi rudishwa seuse wa hapa... kasema atachukuliwa ni mpiganaji wa kisiasa anayeeleza ukweli jamii .. so marekani hawawezi muachia aje huku kuuwawa... nikawaza huyu ambae news zake zote anategemea atumiwe kwa umbea na kuzitupia kama zilivyo.. akishushuliwa anajishtukia kwamba kachanganya mada.. nimeshindws kumuelewa.
 
Mwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185
huyo mange nani hamfahamu akili zake? hahahaha
 
Back
Top Bottom