Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,064
Wameanza kutukana kwa Nokia 95 mpaka sasa wanatukana kwa smartphone na tabiri kibaoDuh ma haters kumbe wameanza kitambo, watakuwa wamezeeka sana sasa
Wameanza kutukana kwa Nokia 95 mpaka sasa wanatukana kwa smartphone na tabiri kibaoDuh ma haters kumbe wameanza kitambo, watakuwa wamezeeka sana sasa
Hivi Kumbe tabiri za kusema Huyu mond atashuka mmeanza zamani eee?Ngono na usharobaro vimeshusha jina na sifa zake....atachoka siku si nyingi we ngoja utakuta kama mwenzie wema...mitaani.
Hawa manabii uchwa*a kumbe wana umri mkubwa hivi
Wachawi wapo tokaa enzi zamababudiamond hana ladha tena.
Kakuachia wew hihi haters number oneNgono na usharobaro vimeshusha jina na sifa zake....atachoka siku si nyingi we ngoja utakuta kama mwenzie wema...mitaani.
Wew umechemshaa yey bado anazidi kutusuwa inawezekana hatakama haupo hai tenaHuyu dogo kwa tabia zake hizi,muda si mrefu atachemsha.
Wrong; jitabiliy mwanaHivi Q chief nae kaishia wapi? Nafikiri na yeye alikuwa dizaini izi
Sijui saa hv unajisikiajeNgono na usharobaro vimeshusha jina na sifa zake....atachoka siku si nyingi we ngoja utakuta kama mwenzie wema...mitaani.
Una uhakikaHuyu dogo kwa tabia zake hizi,muda si mrefu atachemsha.