Diamond big up kaka, kaza buti

DIAMOND PLATNUMZ kiki zake ni za mafanikio sio za kujivamia/kujiibia kama hapa naona keshafanya yake kwa Tidal ya J Z.
 
Level za DIAMOND PLATNUMZ kwa sasa sio za kusubiria huruma za mapromota wa TZ,ila popote anaweza kupiga shows, leo yupo hapa.
 
P-Square kwa pamoja wana utajiri wa N22 billion ambazo ni sawa USD $110 million vijana hawa wawili wenye stashada ya Business Administration katika chuo cha Abuja nchini Nigeria.

P-Square hawakukurupuka kufanya collaboration na Diamond walijua Diamond ni bidhaa na Brand Bora ya Buradani Africa ambayo itawazidishia radha nzuri ya music na pasipo hiana Diamond Kama Iniesta kafanya kama walivyohitaji wao.

Mhubiri 3 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. 5 Wakati wa kutupa mawe, na wakati wa kukusanya mawe; Wakati wa kukumbatia, na wakati wa kutokumbatia;

Huu ni wakati wa Diamond platinum wa kukusanya na kukumbatia sababu kwa sasa yeye ni kila kitu katika music wa Tanzania ,Diamond ni maarufu Dunian kuliko Hamisi Andrea Kigwangalla na Makondakta

Napenda HipHop ila namsikiliza Diamond kwa jicho la haki na kumtizama kwa macho ya haki popote ulipo kazi yako imetukuka na ni ya kiwango cha hali ya juu am so proud of you and yo deserve the best tumia vyema jina lako wakati ukuta. Hate leaves ugly scars, love leaves beautiful ones.#DiamondsAreForever.
Jamaa yuko vzt ametutoa kimasomaso wana Tanzania hongera zake
 
Hii sio Darlive wala Mlimani city, hii ni huko duniani. Mutabaki hivo hivo ooooh kibakuli anajua kiumba,ukiulizwa kwani Bibi Kidude alikua anafanya nini.... unabaki kututolea mijicho tu.
 
Kwani single si ilikuwa ya kwake ndio akawashirikisha P-square na sio ya P-square kumshirikisha diamond
 
Back
Top Bottom