Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

huu uzi umejaa povu kichizi. Unaweza ukafulia jezi za timu tano tofauti za soka na povu likabaki.
 
watu wengi hawajui ata maana ya Usuper star, mtu kama Mondi ni Inspiration kwa vijana wengi wanaotoka kwenye maisha ya chini so anapotambishia mafanikio yake anajua kuna wengi watatake it as a positive inspiration ingawa watu wenye negative altitude hawakosagi la kuongea ndo kama hivyo ana show off, sjui kiki lkn hivyo ni vitu vya muhimu sana kwake na anafanya hvyo akijua kuna wakuda wataanza kumdiscuss na ndo ustaa wake unaanzia apo kila mtu anamjadili yeye. Ona kama leo social networks hadi zinakera ni kuzungumzia tu nyumba ya Diamond wakifikiri wanamshusha kumbe ndo wanamnyanyua mara dufu. Kwakwel uyu jamaa kushuka labd aamue yeye tu maana kila anachofanya watu wapo attention kukizungumzia na hiyo ndo tofauti yake na wasanii wengine
 
Kwanza niseme kitu kimoja, nafurahi ninapoona diamond anawekeza kwa ajiri ya future yake.lakini akiwa kama msanii kioo inatakiwa ajifunze sasa namna gani ya kuishi kistar.

Maisha anayoishi mama yake mzazi mtandaoni, mpenzi/mzazi mwenzie mtandaoni,na yeye mwenyewe hayaendani na kariba aliyo nayo.ipo interview moja aliulizwa hili, akajibu kama mtu unapenda muziki wangu penda muziki, maisha binafsi yaache.nilichogundua huyu hapendi kupitwa na neno lolote linalomhusu.

Diamond bro nyumba ni mali yako halali wasi wasi wa nini,unaanzaje kubishana na mtu kuthibitisha yeye ni nani kwanza???halafu huyu salam na tale nao ni watu wazima kumzidi huyu sjui umri wao wanautumiaje kwake???kama ulitaka tujue umepiga hatua gani haikuwa wakati huu ambao wasioishiwa la kusema wanasema.

Nimesikiliza audio ya huyu poti wako wachu kuhusu nyumba.kuna kitu nimekinote.una ya kujifunza kutoka kwake.huyu kweli kakulia bara sio uswahilini.lakini pia kukulia uswahili sio ishu.maana sina uhakika kama mama tee naye ni wa huko.

Embu endesha familia kama baba/superstar bwana acha mambo ya kihaya+uzaramo.
 
Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.

Ujinga gani kuonyesha nyumba? Akionyesha wanawake anaitwa Malaya.
----------
Sasa hiyo Suit uliyoivaa hapo unatuonyesha nini? Au ndio MALAYA wa KIUME.
 
watu wengi hawajui ata maana ya Usuper star, mtu kama Mondi ni Inspiration kwa vijana wengi wanaotoka kwenye maisha ya chini so anapotambishia mafanikio yake anajua kuna wengi watatake it as a positive inspiration ingawa watu wenye negative altitude hawakosagi la kuongea ndo kama hivyo ana show off, sjui kiki lkn hivyo ni vitu vya muhimu sana kwake na anafanya hvyo akijua kuna wakuda wataanza kumdiscuss na ndo ustaa wake unaanzia apo kila mtu anamjadili yeye. Ona kama leo social networks hadi zinakera ni kuzungumzia tu nyumba ya Diamond wakifikiri wanamshusha kumbe ndo wanamnyanyua mara dufu. Kwakwel uyu jamaa kushuka labd aamue yeye tu maana kila anachofanya watu wapo attention kukizungumzia na hiyo ndo tofauti yake na wasanii wengine
hivi hii inspiration unayoizungumzia kwa upcoming ni pamoja na maneno ya vijembe kwamba
Kunya ninye mm mat@ko yawaume wengine,as our little brother's role model .

Hii mipasho kwa watoto wa kiume haikubaliki.mm ningependa kama asingekuwa anaweka caption yoyote katika clip then asubiri kuulizwa ktk interviews ndipo amwage mchele.
 
Kwanz inatakiwa ujue asilimia kubwa ya binadamu tunapenda sifa kwasababu sifa hufariji, lkn pia wasanii wengi wanapenda kiki sema wanaogopa kutukanwa na washabiki kwahiyo apo Diamond alipopost mwanzo alikuwa anataka sifa na kiki, wakatokea watu wakamtukana na kumdhihaki afu wengn Mastaa wenzake Kbs mfn Hbaba so hivo vijembe pengn alishndwa kuwavumilia ndo maana kawajibu so ata km haiko sawa lkn tukumbuke naye ni bnadamu so sdhan km kuna mtu anapenda kudhihakiwa na mwngne alafu akachekelea. Muda mwngn lazm kukomeshana tu ili wasimzoee sana
 
1477502047368.jpg
 
Hao mastaa wangekua hawapend tuone mali zao mtv wasingekua na kipindi cha crib. Au akionesha 50 cent nyumba yake au mali zake mitandaoni yeye ndo star??

Hlf majority wanaoleta zengwe kwa diamond na kumkebehi humu ni wanaume. Jamani jengeni na nyie msimuonee kijicho mwanaume mwenzenu.
 
ila neno sahihi la kiswahili ni ringa, so angeandika waacheni waringe. Ndio tunavyo elimishana kama hivyo, then next thing povu teh teh
Umeelewa lakin ndo nilichokua nataka
 
Umeelewa lakin ndo nilichokua nataka
yeah nimeelewa thrad kama hizi wakati mwingine tunafurahi tu na kujipima jinsi ya kujimudu, kuna time hapa nimepewa za uso kidogo ni catch feelings nianze kutukana, hhaa mwishowe niharibu ka pc changu cha kimaskini kwa kubonyeza keypad kwa jazba mweh
 
Hao mastaa wangekua hawapend tuone mali zao mtv wasingekua na kipindi cha crib. Au akionesha 50 cent nyumba yake au mali zake mitandaoni yeye ndo star??

Hlf majority wanaoleta zengwe kwa diamond na kumkebehi humu ni wanaume. Jamani jengeni na nyie msimuonee kijicho mwanaume mwenzenu.
Ja Rule alionyeshaga ya kukodi akasema yake walim mind wenye nyumba yao hahahha entertainers bana.Unielwe sasa sio uanze ooh kwa hiyo Diamond kakodi...sijasema hivyo mimi. Nachojua kasema kanunua, mi nibishe nini kwani mimi Zari koh koh Zari ndio anajua ukweli
 
Back
Top Bottom