DIAMOND ARUDIANA NA WEMA.Diamond ahojiwa uingereza juzi amesema arudiana na Wema Sepetu

aaronf

New Member
Dec 10, 2011
1
0
Diamond alienda uingereza siku tatu zilizopita ahojiwa baada ya show yake amesema arudiana na Wema Sepetu.
Na Jokate asema yake Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema kuhusu kumchukulia Diamond na nukuu..."Mie nimpore Wema Diamond, that is too low for me ingawa Diamond alionyesha interest but I have one and only one in my life, Hate me or love me I am not that low".
KWA UHAKIKA ZAIDI TAFUTA YOUTUBE ANDIKA,'DIAMOND ARUDISHA MAJESHI KWA MPENZI WAKE'
 
Makubwa, yale yale ya siku zote, yanayochoshwa watu, macelebrity wa bongo na vituko vyao....

However, guys, I know you have been so busy the whole day, please spare time and refresh yourself with these ********

..........Poleni wahanga wa mafuriko, it is time now you vacate jangwani vallley... Idd Simba is no longer there to protect you....
 
tutoleen hapa habar za wema na diamond... 2naajua wamemake headline ila enough z enough.. Nan asiejua mastaa huongaa hadi magazet kwajil ya publicity???? Kama unaabisha muulize richard bukos wa global pale bamaga... Tumechoka u***** wa wema na almasi aaisee
 
KUNA MAMBO MENGI YA MAANA YANAYOENDELEA KWENYE TAIFA HILI! HAKUNA MUDA MCHAFU WA KUWAONGELEA HAO WAPUUZi!
 
Pumbavu kuwajadili hawa wakati kuna watu wako nje hawana pa kulala ni ujinga ni watoto kuwajadil
 
Ivi huyo diamond na wema ni wabunge wa wapi jaman,me cwajui kabisa.
 
Huwezi kurudiana na mtu ambaye hujaachana nae. This is just a publicity stunt. Diamond doing promo for his new track, NIMPENDE NANI! Wema kajitahidi ku'act katika hili :juggle:
 
BE WARNED...SHUGHULI YA DIAMOND NZITO....
Written by Mange
Sunday, 18 December 2011 19:38


Hie Mange na wana uturn wote kwa pamoja.

Mimi nimeona bora nijitokeze mbele ya wote na kumuelezea huyu diamond kiundani kwa vile nimeona wengi humu wana jiuliza huyu diamond ana kitu gani mpaka anachanganya masupastar wetu.

Ndio wengi mmedai huyu kaka ni wa mbagala na hana kitu na hana pesa yoyote na kujiuliza je ni kwanini watoto wa masaki wanamfia?

Nimeona niwape low down. Jamani kina dada kama Diamond ni mwanaume wa ukwee. Ni kidume cha mbegu, sijui niwaeleze vipi.

Mimi nilikutana nae miaka zaidi ya mitano iliyopita kipindi hicho alikuwa hata bado hajawa star na hajaanza kuimba, kipindi hicho alikuwa anauza mitumba. Mimi nilikutana nae nilivyoenda kununua mitumba, basi tukaanza mazoea maana alikuwa anakuja mpaka home kwangu kuniletea nguo. Sijui nini kilitokea hapo katikati ila nikajikuta naanza kumcheat mchumba wangu sababu ya Diamond.
Diamond ana maneno matamu sana na yuko charming mno. Yani ukiwa nae ni raha tupu, ana utani mwingi sana na maneno ya mapenzi vitu ambavyo wanawake wengi wanapenda. Mbali ya hicho ana kitu kimoja ambacho hakuna mwanamke yoyote anaweza kuresist.

Ana bonge moja ya ‘mndinga' ,msimumone mwembamba vile, weight yake yote ipo sehemu moja. Yani this guy is something else when it comes to mambo yale. Kama umeolewa utaacha mume, kama una mchumba utavunja uchumba, hutojali hata kwenda nae gesti za shingi mia 500. Yule jamaa akikugusa hutoki tena. Kwakweli tuache kuwa judge hawa kina Wema, Jocate,sijui jacky wolper mimi kwa kweli naelewa kinachowachanganya kwa yule kaka. Yani hata akikwambia hakutaki unaweza kumlilia sababu ya hiyo shughuli yake.

Kwa kweli mpaka sasa nina miake 34 sijapata kuona mwanaume aliejaaliwa kwenye idara ile kwa huyu kaka. yani sijui nieleze vipi mie ni mdada mwenye heshima zangu na nina maisha yangu mazuri tu na nina kazi nzuri yani nilikuwa nashindwa hata kueleza rafiki zangu ninatembea na muuza mitumba (diamond).mpaka sasa hivi nimeolewa sijawahi kumtajia mume wangu nimewahi kutembea na diamond. yani sijawahi kumwambia mtu yoyote ila kusema ukweli kila ninapo kuwa shughulini na mume wangu huwa ninamuwaza huyu kaka.sijui kama nitakuja kumsahau.na kusema ukweli kama ingetokea akanifata tena sidhani kama nitakuwa na nguvu ya kumkataa. kipindi hicho niko nae alikuwa yuko na wanawake wengine wawili na wote tunajua ila hakuna aliekuwa na ujanja wa kumuacha.

So kina dada nawapa warning tu, msimsogelee kwa yule kaka mkasema mnaenda kuonja tu. Pale hakuna kuonja,hutoweza kuachana nae mpaka siku yeye atakapoamua hakutaki tena, so cha maana kaaeni nae mbali sana yule. Yani kama ni kusomea yule mwenzenu ana Phd ya ngono, na kwa size basi sijui ndo wanaita 6 inches au labda 8 inches.

Ni hayo tu kwa leo…

Mange email yangu kapuni tafadhali



Ingia humu kusikiliza nyimbo mpya ya diamond, kamsifia jokate na kumpiga madongo wema sepetu.
UPDATE:

Wana uturn sababu hii topic ya Diamond imerudi tena uturn nimeona bora ningeze hii . This diamond guys is full of shit and does not respect women, jana alikuwa ana perfom hapa London na katikati ya concert he had the audacity kuuliza mashabiki eti wanamtaka Wema au Jokate eti tumsaidie kuchagua. This guy is not serious, na anachezea watoto wa watu. I mean really wanaume wa bongo mbona hamna hata haya hivi kweli aliwezaje kusimama pale na kuuliza swali kama hili?
 
Mod delete hii. tuna janga la mafuriko, christmass, hakuna mishahara, bei imefumuka. hey kavipi na ww kamgombanie huyo almasi. kalaghabahoo.
 
Walikuwa wanatania watu tu, hao. Na wao watiwe modomoni, bali hawanaga!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom