Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Pokea LIKE,Tunaacha kuzungumzia ROMA mkatoli, tunajadili wabana pua hawana inshu bana. Kwanza d'mond hana sura ya uwamziki, anapendezea akiwa mpaka rang kucha za madu au muuza vyombo mtaani. Wabanapua wenyewe wali wa shekhe, kwishneeeeeeiiiiiiii.
Sio siri ROMA Mkatoloki ni kichwa na anajua cha kuandika na kuimba pia,
Mungu na ampe maisha marefu na kumlinda na wenye roho za kwann wanaoguswa na tungo zake.